Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
- Thread starter
- #21
KwaniUmekuja na cheche kweli
Kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwaniUmekuja na cheche kweli
Kijana
Kwanza weka delivery serviceNi biashara ya kuuza juice maji kwa ujumla vinywaji
Kwanza weka delivery service
Then tanua biashara yan ongeza huduma ambazo wengine hawana....hii husaidia kutanua upatikanaji wa pesa...ukikosa huku unapata kwngne...or unapata kote
Weka vocha hasa za kurusha ndo zna faida
Pia lugha nzur kwa wateja...wew pamoja n vijana wako
Kama inakulipa weka bei unayotaka si wamekukuta bhn!!? Wamecopy idea yako kwa lengo la kukupokonya wateja, na wewe panga bei unayotaka ilimradi tu iwe inakupa maslahiMkuu nikishusha bei si nitaleta vita na wale wezangu
Vocha hazina faida bhn, unajua faida anayopata mtu kwa kila vocha? Vocha ni ya kuvutia wateja kununua bidhaa nyingine lakini vocha kama vocha haina faida kihivyoKwanza weka delivery service