Njia gani naweza kupokea fedha kutoka nje ya nchi?

NUHWAHI

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
306
Reaction score
490
Tafadhalini wadau naombeni shule kamili katka hili.

Napokeaje hela toka america!? Au ulaya!? Nahitaji shule tu nijue mbinu, njia za miamala hiyo.

Nipo empty kwa hilo. Sio kwamba nna mchongo wa hela toka huko hapana.

Nipeni elimu tu afadhalini
 
Tafadhalini wadau naombeni shule kamili katka hili.. Napokeaje hela toka america!? Au ulaya!? Nahitaji shule tu nijue mbinu, njia za miamala hiyo... Nipo empty kwa hilo... Sio kwamba nna mchongo wa hela toka huko hapana..nipeni elimu tu...tafadhalini
Tumia Absa
 
mkuu Kuna njia nyingi sana lakini common ni
1. western union
2. MoneyGram
lakini pia kuna online wallets makini sana kama
1. payooner
2. PayPal

lakini pia Kuna bank transfer kupitia SWIFTCODES, Ambapo utahitajika kuwa na account kwenye bank yoyote hapa tz kama tcb nmb etc kisha utampa huyo mtu wa njee swiftwodes za bank na info nyingine kama ac no etc
 
Thanks..
 
Wajuzi waje.
Pana watu bongo wanaweka fixed bank za ulaya,wanaishi tu vizur mjini.
 
Really..!? Mtu aliye canada ataweza ni cash kwa mpesa!?
 
mkuu Kuna njia nyingi sana lakini common ni
1. western union
2. MoneyGram
lakini pia kuna online wallets makini sana kama
1. payooner
2. PayPal

lakini pia Kuna bank transfer kupitia SWIFTCODES, Ambapo utahitajika kuwa na account kwenye bank yoyote hapa tz kama tcb nmb etc kisha utampa huyo mtu wa njee swiftwodes za bank na info nyingine kama ac no etc

Paypal na online kwa ujumla kwa Tz bado haiwezekani na ni kazi kweli kweli. Ila njia ya 1 na 2 na swftcode nakuunga mkono.
 
Tafadhalini wadau naombeni shule kamili katka hili.

Napokeaje hela toka america!? Au ulaya!? Nahitaji shule tu nijue mbinu, njia za miamala hiyo.

Nipo empty kwa hilo. Sio kwamba nna mchongo wa hela toka huko hapana.

Nipeni elimu tu afadhalini
Worldremity ndilo jibu lako.
Tigopesa ni nzuri zaidi, ni instant ndani ya dakika 5 umepokea.

Pili voda inachukua hadi nusu saa kupokea.
 
mkuu Kuna njia nyingi sana lakini common ni
1. western union
2. MoneyGram
lakini pia kuna online wallets makini sana kama
1. payooner
2. PayPal

lakini pia Kuna bank transfer kupitia SWIFTCODES, Ambapo utahitajika kuwa na account kwenye bank yoyote hapa tz kama tcb nmb etc kisha utampa huyo mtu wa njee swiftwodes za bank na info nyingine kama ac no etc
Uko nyuma ya wakati sana.

Habari ya mjini ni WORLDREMITY
 
mkuu Kuna njia nyingi sana lakini common ni
1. western union
2. MoneyGram
lakini pia kuna online wallets makini sana kama
1. payooner
2. PayPal

lakini pia Kuna bank transfer kupitia SWIFTCODES, Ambapo utahitajika kuwa na account kwenye bank yoyote hapa tz kama tcb nmb etc kisha utampa huyo mtu wa njee swiftwodes za bank na info nyingine kama ac no etc
Option namba moja ni ghali.

Option 2 nazo kwa Tz ni mtihani.

Wallet bora ni SKRILL.

NJIA RAHISI ZAIDI NA BORA KWA KUTUMA NI worldremity inaingia kwa simu papo hapo
 
Huyo keshakutana na wanaijetia wanaosema wanapesa nyingi na hawajui wa kumsaidia hivyo wamemtaka atume ditail zake ILI waweze kuitumia,

Atakapogundua anatapeliwa atakuwa keshatapeliwa tayari!
 
Worldremity ndilo jibu lako.
Tigopesa ni nzuri zaidi, ni instant ndani ya dakika 5 umepokea.

Pili voda inachukua hadi nusu saa kupokea.
Hii mitandao ya sim shida yao ni kwenye rate. Utapewa rate mbovu hadi uone dunia chungu.
 
Tatizo worldremit iko baadhi ya nchi. Mfano mtu akiwa turkey hawezi kukutumia kupitia worldremit remit
 
Back
Top Bottom