daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 146
- 233
Sasa hivi nimejua njia ya kutumia WISE hii bwana mtu anaweza kukutumia pesa kutoka nje kuja kwenye bank account yako, na makato na fees zinatolewa kwa anayetuma kwahiyo ww unapokea kiasi chako kama kilivyo na ni ndani ya masaa 24 ya kazi. Check app yao google play store