Njia gani naweza kutumia kuhifadhi mafuta ya alizeti?

Njia gani naweza kutumia kuhifadhi mafuta ya alizeti?

Thanks mkuu, wala hujakosea kwani taaluma yangu ni public health and food safety (ni mbobezi). Suala la food safety ni kizungumkuti nchi hii.
Sure,

Unajua hata kama siijui process yenyewe kuna vitu vinavyoashiria jibu na si-jibu unaviona wazi kabisa.

Nilipoona kuna mwamba ameweka mchakato wa kuhifadhi hadi miaka kumi ndio akanishtua! nikasema kumbe unaweza kuwa unachukua ushauri kwa watu wasiokuwa wataalamu wakakupoteza.

Hongera kwa kuiwakilisha vema taaluma yako👊
 
Nimependa mada hii ngoja na Mimi niweke neno hapo mim ni mfanya kazi katika kiwanda kidogo Cha mafuta ya alizeti kipo kahama mjini sas sisi tuna kamua mafuta na kuchuja kisha tuna weke kwenye madumu makubwa na mdogo kwa kuuzwa sas nimjibu mtoa mada alizet ikiwa Ina kamuliwa kwenye mashine pale Kuna joto kilo pale ndomana mafuta machafu Yana Toka yamoto Kisha tunayachukiwa mafuta machafu tuna weka kwenye chujio pale na napo Kuna presha inayoivisha mafuta ambayo inauwa vijidudu vyote yakita apo miaka kumi hakuna alafu Wala kuganda angalizo chombo unachoweka mafuta kiwe kisafi
upo kwa ndegesera hapo?
 
mkuu huu uandishi dah
 
Mkuu nitaomba baadaye nikupe jibu la uhakika, ila nakumbuka kwa kila lita mia tulikuwa tunaweka kilo moja ya chumvi na maji lita 5. Kumbuka mwisho wa mchakato maji yote yatakuwa yameisha kwani yanachemka kabla ya mafuta na kupotea kama mvuke, lengo ni kuondoa hewa ya oksijeni tu. Nina miaka 21 tangu nimeacha kufanya shughuli hii, nitakupatia formula halisi. Kama unayatumia ndani ya miezi sita hayana shida sana, zaidi ya hapo ni vyema kuyachakata vizuri.
Asante kwa ushauri mkuu!
 
Back
Top Bottom