dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Salute,
Imepita miezi tano na siku 16 tokea mke wangu ajifungue.
Alijifungua 07/01/2019, siku ya jumatatu, tunajua mwanamke akishajifungua basi kuona siku zake za hedhi ni adimu sana.
Leo zimeanza siku zake, sasa mimi sio mpenzi wa kutumia mara sijui vitanzi, sindano, vidonge nk.
Yeye analazimisha atumie njia tajwa hapo juu, mimi sitaki kwa sababu naskiaga madhara yake.
Basi yupo hapa kanuna, anadai atajikingaje ili aispate mimba kwa sababu mwanae bado mdogo.
Nalileta kwenu hili waungwana ili mnipe muongozo, najua wengi wenu mlipitia hili ama mnapitia hili.
Nye mlitumia njia gani kukinga mimba?