Njia gani ni salama na haina madhara kwa mwanamke ya kuzuia mimba?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Salute,

Imepita miezi tano na siku 16 tokea mke wangu ajifungue.

Alijifungua 07/01/2019, siku ya jumatatu, tunajua mwanamke akishajifungua basi kuona siku zake za hedhi ni adimu sana.

Leo zimeanza siku zake, sasa mimi sio mpenzi wa kutumia mara sijui vitanzi, sindano, vidonge nk.

Yeye analazimisha atumie njia tajwa hapo juu, mimi sitaki kwa sababu naskiaga madhara yake.

Basi yupo hapa kanuna, anadai atajikingaje ili aispate mimba kwa sababu mwanae bado mdogo.

Nalileta kwenu hili waungwana ili mnipe muongozo, najua wengi wenu mlipitia hili ama mnapitia hili.

Nye mlitumia njia gani kukinga mimba?
 
Mi mwaka wa 3 kalenda haijawahi kuniangusha
 
Nilikuwa muumini wa kalenda lakini baada ya kupata ujauzito, mtoto akiwa na miezi 4 tu nilifuta kabisa hizo kalenda, maana siku za ambazo hutakiwi kuduuu ndipo mwili unawaka km moto halafu eti unamwambia mume chomoa mwaga njee maisha gani hayo,,, afike hospitali apate njia muafaka

Faida ya kupanga uzazi ni kulea mimba na watoto kwa raha amani na mapenzi makubwa,
 
Coitus Interruptus is the best.
 
Mi mwaka wa 3 kalenda haijawahi kuniangusha
Shida inakuja mzunguko wake hauleweki, alikuwa akiingia hedhi mwezi mwingine siku 27, 30, 32, 36, 40 hadi 42.

Sasa huu ndo mzunguko gani uko hivi?
 
Nilikuwa muumini wa kalenda lakini baada ya kupata ujauzito, mtoto akiwa na miezi 4 tu nilifuta kabisa hizo kalenda, maana siku za ambazo hutakiwi kuduuu ndipo mwili unawaka km moto halafu eti unamwambia mume chomoa mwaga njee maisha gani hayo,,, afike hospitali apate njia muafaka

Faida ya kupanga uzazi ni kulea mimba na watoto kwa raha amani na mapenzi makubwa,
Hakuna madhara uliyopata kwa kutumia uzazi wa mpango?
 
Lakini hujamwambia mleta mada unatumia njia ipi.

Back
Top Bottom