Mi mwaka wa 3 kalenda haijawahi kuniangushaSalute,
Imepita miezi tano na siku 16 tokea mke wangu ajifungue.
Alijifungua 07/01/2019, siku ya jumatatu, tunajua mwanamke akishajifungua basi kuona siku zake za hedhi ni adimu sana.
Leo zimeanza siku zake, sasa mimi sio mpenzi wa kutumia mara sijui vitanzi, sindano, vidonge nk.
Yeye analazimisha atumie njia tajwa hapo juu, mimi sitaki kwa sababu naskiaga madhara yake.
Basi yupo hapa kanuna, anadai atajikingaje ili aispate mimba kwa sababu mwanae bado mdogo.
Nalileta kwenu hili waungwana ili mnipe muongozo, najua wengi wenu mlipitia hili ama mnapitia hili.
Nye mlitumia njia gani kukinga mimba?
Salute,

Hakuna madhara uliyopata kwa kutumia uzazi wa mpango?Nilikuwa muumini wa kalenda lakini baada ya kupata ujauzito, mtoto akiwa na miezi 4 tu nilifuta kabisa hizo kalenda, maana siku za ambazo hutakiwi kuduuu ndipo mwili unawaka km moto halafu eti unamwambia mume chomoa mwaga njee maisha gani hayo,,, afike hospitali apate njia muafaka
Faida ya kupanga uzazi ni kulea mimba na watoto kwa raha amani na mapenzi makubwa,
Mpaka sasa hakunaHakuna madhara uliyopata kwa kutumia uzazi wa mpango?
Nilikuwa muumini wa kalenda lakini baada ya kupata ujauzito, mtoto akiwa na miezi 4 tu nilifuta kabisa hizo kalenda, maana siku za ambazo hutakiwi kuduuu ndipo mwili unawaka km moto halafu eti unamwambia mume chomoa mwaga njee maisha gani hayo,,, afike hospitali apate njia muafaka
Faida ya kupanga uzazi ni kulea mimba na watoto kwa raha amani na mapenzi makubwa,
Njia nayotumia mimi inaweza isimfae yeye ama ikamfaaLakini hujamwambia mleta mada unatumia njia ipi.
Quick withdraw of penis during ejaculationCoitus Interruptus is the best.
Quick withdraw of penis during ejaculation