Njia gani ni salama na haina madhara kwa mwanamke ya kuzuia mimba?

Write your reply...
mkule tigo mkuu
otherwise fanyeni kilimo cha watoto tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...yaan nux tupu...hahhaa yaan ukipita mwezi salama unashika tenzi za rohoni na kuanza kuimba!kushukuru...!yaan hofi juu ya hofu
Ah ah ah ah mbavu zangu we kiboko, kalenda risk kama huna mzunguko mzuri, unawaza mimba kila dkk unahis unayo kumbe hakuna kitu
 
Nakuambia mie nikiona mp huwa ni furaha kwangu mno mno..ah najichokea balaa
Ah ah ah ah inabid utoe mawazo sasa, hii kuwaza sijui nina mimba sijui sina inatesa na ukiangalia katoto bado kadogo, bora nje wanaume wanachoma sindano kama hawatak kubebesha mimba, sasa huku kwetu inabid tupambane hivyo hivyo wenyewe
 
Mimi na wife ni mwendo wa calendar tuu.
Hiz nyingine siziamini kabisa
 
Ah ah ah ah inabid utoe mawazo sasa, hii kuwaza sijui nina mimba sijui sina inatesa na ukiangalia katoto bado kadogo, bora nje wanaume wanachoma sindano kama hawatak kubebesha mimba, sasa huku kwetu inabid tupambane hivyo hivyo wenyewe

Unajikuta hata hamu ya kula inakata..mir labor nikikumbuka jaman miaka inakatika...dah..kule.jamani kifo nje nje
 
Aisee
 
Unajikuta hata hamu ya kula inakata..mir labor nikikumbuka jaman miaka inakatika...dah..kule.jamani kifo nje nje
Bila Mungu huchomok, panatisha sana sikuhiz wamama wanakufa saana
 
Njia za hospitali kama sindano vidonge na njiti zina shida ya kushusha nyegezi tofauti na kitanzi kwangu mimi ni km zimeongezeka hasa hizo hot days
 
Muda si mrefu utainasa ndipo akili itakukaa sawa hahahaha fanya kujilinda hamna kitu kibaya kubeba mimba usiyoihitaji
[emoji23][emoji23][emoji23]...yaan nux tupu...hahhaa yaan ukipita mwezi salama unashika tenzi za rohoni na kuanza kuimba!kushukuru...!yaan hofi juu ya hofu
 
Ah ah ah ah inabid utoe mawazo sasa, hii kuwaza sijui nina mimba sijui sina inatesa na ukiangalia katoto bado kadogo, bora nje wanaume wanachoma sindano kama hawatak kubebesha mimba, sasa huku kwetu inabid tupambane hivyo hivyo wenyewe
Wanaume wa kibongo uwachomeshe sindano,,, thubutuu watasema zinawamalizia nguvu za kiume wakati ndivyo walivyo tu hawana nguvu hata bila kuchoma sindano
 
Njia za hospitali kama sindano vidonge na njiti zina shida ya kushusha nyegezi tofauti na kitanzi kwangu mimi ni km zimeongezeka hasa hizo hot days

Naskia.sindano.unakuwa baridi huna hamu kbs..hicho kufurushi mie sikitak jaman
 
Hahahahaa tema mate chini kapeace!dah
We endelea na tabia yako

najua nachokizungumzia japokuwa mtoto husika ndiye rafiki pekee naemthamini kuliko mtu yeyote dunia hii lkn kwa dhati mimba yake niliilea pasipo mapenzi
 
Just simple
Mwaga nje kama pornstar.
 
Cheza na kalenda, njia salama kiafya kupita zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…