Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Mi mwaka wa 3 kalenda haijawahi kuniangusha
Nilikuwa muumini wa kalenda lakini baada ya kupata ujauzito, mtoto akiwa na miezi 4 tu nilifuta kabisa hizo kalenda, maana siku za ambazo hutakiwi kuduuu ndipo mwili unawaka km moto halafu eti unamwambia mume chomoa mwaga njee maisha gani hayo,,, afike hospitali apate njia muafaka
Faida ya kupanga uzazi ni kulea mimba na watoto kwa raha amani na mapenzi makubwa,
Unatakiwa usimwambie hii anatakiwa mwanaume ndio awe kawaida yake
Halafu ni ngumu SANA.... Ukute ndo la kwanza halafu utakiwe kichomoa.... Lazima nisingizie LIMENIPONYOKAIla hii method inaboa jamani..hakuna moment tamu na kuntu km men afike mwisho..yaan yale mavurugu huwa tunafurahia..yaan dahhhh...bora uwah tu kukojoa kuliko kuwithdraw jamani!..hii njia unaweza amshiwa Presha kbsππ
Hongera zako... Kuna wengine utawasikia usinishike hapa, usinifanyie hivi.... Sasa urogwe ushike asipopataka...!!! Utashikwa mkono.... YAANI MTU BADALA YA KUINJOI KILICHOMLETA, ANAGEUKA KUWA MLINZI WA KULINDA PA KUSHIKWAWashauri wengine mi msimamo wangu ni kufaidi sex pasipo mipaka ya kujibana bana
teh teh!Kutoa nje ni ungese yaani pale kwenye raha zote ndo utoe never we mpige mimba kaka atakunywa maziwa ya ngombe
Ah ah aj ah yan nimecheka kwa nguvu ngoja wapite waje wasomr usikolizie mineno yaoWanaume wa kibongo uwachomeshe sindano,,, thubutuu watasema zinawamalizia nguvu za kiume wakati ndivyo walivyo tu hawana nguvu hata bila kuchoma sindano
Sipendi hayo mawazo yaan unakaa mwezi mzima roho juu juu tu khaaaa!Ah ah ah ah mbavu zangu we kiboko, kalenda risk kama huna mzunguko mzuri, unawaza mimba kila dkk unahis unayo kumbe hakuna kitu
Matumizi yake dada maisha kusaidianaMimi natumia mbegu za mnyonyo ni njia nzuri ya asili. Nilianza baada ya kutumia sindano kwa muda wa miaka mitano nikawa naumwa na mifupa baadaye nikaambiwa hiyo ni sababu ndipo nikaamua kuacha. Baada ya kuacha nikashauriwa nitumie mbegu za mnyomnyo na mpaka leo ni mkombozi wangu
Maelezo zaidi tunaombaMimi natumia mbegu za mnyonyo ni njia nzuri ya asili. Nilianza baada ya kutumia sindano kwa muda wa miaka mitano nikawa naumwa na mifupa baadaye nikaambiwa hiyo ni sababu ndipo nikaamua kuacha. Baada ya kuacha nikashauriwa nitumie mbegu za mnyomnyo na mpaka leo ni mkombozi wangu
Halafu unaweza pata presha ya kujitakia kabisa ah ah ah ya uanamke sio kazi ndogpSipendi hayo mawazo yaan unakaa mwezi mzima roho juu juu tu khaaaa!
Ndo maaana tupo karibu na moyo wote wakuwasaidia ufate maelekezo tu π πUnajikuta hata hamu ya kula inakata..mir labor nikikumbuka jaman miaka inakatika...dah..kule.jamani kifo nje nje
Kazi kaziIla hii method inaboa jamani..hakuna moment tamu na kuntu km men afike mwisho..yaan yale mavurugu huwa tunafurahia..yaan dahhhh...bora uwah tu kukojoa kuliko kuwithdraw jamani!..hii njia unaweza amshiwa Presha kbsππ