Njia gani ni salama na haina madhara kwa mwanamke ya kuzuia mimba?

Njia gani ni salama na haina madhara kwa mwanamke ya kuzuia mimba?

Mimi mwaka wa 7 huu kukojoa nje hakujawahi kuniangusha ndani ya ndoa
Nje ya ndo kwanza nadunda kuna kabinti nilikuwa natoka nacho kakapata mimba kameshindwa hata kunisingizia
Mi mwaka wa 3 kalenda haijawahi kuniangusha
 
Unatakiwa usimwambie hii anatakiwa mwanaume ndio awe kawaida yake
Nilikuwa muumini wa kalenda lakini baada ya kupata ujauzito, mtoto akiwa na miezi 4 tu nilifuta kabisa hizo kalenda, maana siku za ambazo hutakiwi kuduuu ndipo mwili unawaka km moto halafu eti unamwambia mume chomoa mwaga njee maisha gani hayo,,, afike hospitali apate njia muafaka

Faida ya kupanga uzazi ni kulea mimba na watoto kwa raha amani na mapenzi makubwa,
 
Ila hii method inaboa jamani..hakuna moment tamu na kuntu km men afike mwisho..yaan yale mavurugu huwa tunafurahia..yaan dahhhh...bora uwah tu kukojoa kuliko kuwithdraw jamani!..hii njia unaweza amshiwa Presha kbs😏😏
Halafu ni ngumu SANA.... Ukute ndo la kwanza halafu utakiwe kichomoa.... Lazima nisingizie LIMENIPONYOKA
 
Washauri wengine mi msimamo wangu ni kufaidi sex pasipo mipaka ya kujibana bana
Hongera zako... Kuna wengine utawasikia usinishike hapa, usinifanyie hivi.... Sasa urogwe ushike asipopataka...!!! Utashikwa mkono.... YAANI MTU BADALA YA KUINJOI KILICHOMLETA, ANAGEUKA KUWA MLINZI WA KULINDA PA KUSHIKWA
 
Ah ah ah ah mbavu zangu we kiboko, kalenda risk kama huna mzunguko mzuri, unawaza mimba kila dkk unahis unayo kumbe hakuna kitu
Hata huyu wangu mzunguko haueleweki, yaan full stress
 
Wanaume wa kibongo uwachomeshe sindano,,, thubutuu watasema zinawamalizia nguvu za kiume wakati ndivyo walivyo tu hawana nguvu hata bila kuchoma sindano
Ah ah aj ah yan nimecheka kwa nguvu ngoja wapite waje wasomr usikolizie mineno yao
 
Mimi natumia mbegu za mnyonyo ni njia nzuri ya asili. Nilianza baada ya kutumia sindano kwa muda wa miaka mitano nikawa naumwa na mifupa baadaye nikaambiwa hiyo ni sababu ndipo nikaamua kuacha. Baada ya kuacha nikashauriwa nitumie mbegu za mnyomnyo na mpaka leo ni mkombozi wangu
 
Matumizi yake dada maisha kusaidiana
 
Mimi natumia mbegu za mnyonyo ni njia nzuri ya asili. Nilianza baada ya kutumia sindano kwa muda wa miaka mitano nikawa naumwa na mifupa baadaye nikaambiwa hiyo ni sababu ndipo nikaamua kuacha. Baada ya kuacha nikashauriwa nitumie mbegu za mnyomnyo na mpaka leo ni mkombozi wangu
Maelezo zaidi tunaomba
 
Back
Top Bottom