Njia gani ni salama na haina madhara kwa mwanamke ya kuzuia mimba?

Hakuna njia ambayo haina madhara kabisa ila huwa zinazidiana tu kila njia ina madhara
 
Nilikuwa muumini wa kalenda lakini baada ya kupata ujauzito, mtoto akiwa na miezi 4 tu nilifuta kabisa hizo kalenda, maana siku za ambazo hutakiwi kuduuu ndipo mwili unawaka km moto halafu eti unamwambia mume chomoa mwaga njee maisha gani hayo,,, afike hospitali apate njia muafaka

Faida ya kupanga uzazi ni kulea mimba na watoto kwa raha amani na mapenzi makubwa,
Huu ndo mtego mkubwa wa njia ya kalenda...... Siku ambayo mwanamke unaambiwa ni danger ndo mwili unawaka tamaa hatari;Hapo kama unalala na Mr lazima tuu uuze mechi, halafu mnaishia kudanganyana na Mr kuwa basi utamwaga nje.... Dadeki kuja kushtuka kitu kimo mumo kwa mumo mnabaki kulaumiana tuu!!!!!!!!!!! kapeace
 
Kwakweli nilijifunza sitaki kusikia habari za kalenda wala kumwaga nje tena ni heri nitumie uzazi wa mpango maana wengine mayai yako mlangoni tu ukigusa kitu imejibu
Huu ndo mtego mkubwa wa njia ya kalenda...... Siku ambayo mwanamke unaambiwa ni danger ndo mwili unawaka tamaa hatari;Hapo kama unalala na Mr lazima tuu uuze mechi, halafu mnaishia kudanganyana na Mr kuwa basi utamwaga nje.... Dadeki kuja kushtuka kitu kimo mumo kwa mumo mnabaki kulaumiana tuu!!!!!!!!!!! kapeace
 
Kutoa nje ni ungese yaani pale kwenye raha zote ndo utoe never we mpige mimba kaka atakunywa maziwa ya ngombe
Acha ubinafsi kiongozi mjali mwenzio. Mtoa mada miezi sita ulikaa bure bila Kula mzigo? Basi kongole kwako. Mie ana mwezi na nusu tu sasa nishakula mzigo mara tatu. Shida kila mtu anamtamani mwenzie. Alijifungua kwa njia ya kawaida akapigwa stitchies nje na ndani lkn 7 days toka ajifungue akawa fiti baada ya mwezi akasema nile mzigo. Tulijaribu kuvaa soksi lkn katikati ya game tukatupa kulee tukaendelea kucheza peku. Huwa nachomoa fasta wakati wa kutupia mzigo ingawa najua namwacha njiani lkn anasema it's ok mpaka atakapokwenda weka kinga. Kwa uzoefu wangu ukiona mwanaume anakaa miezi sita hajagusa papuchi basi wewe mke jua kuna mchepuko unakusaidia labda huyo jamaa awe sio rijali.
 
Rudia kusoma mada, kutokuona siku sio hoja ya kuzuia kufanya tendo
 
Kalenda tuu...chukua siku zako to a 14 hapo ni dangerous acha 2 nyuma na 2 mbele the kula mzigo
 
Salute,

Imepita miezi tano na siku 16 tokea mke wangu ajifungue.

Alijifungua 07/01/2019, siku ya jumatatu, tunajua mwanamke akishajifungua basi kuona siku zake za hedhi ni adimu sana.

Leo zimeanza siku zake, sasa mimi sio mpenzi wa kutumia mara sijui vitanzi, sindano, vidonge nk.

Yeye analazimisha atumie njia tajwa hapo juu, mimi sitaki kwa sababu naskiaga madhara yake.

Basi yupo hapa kanuna, anadai atajikingaje ili aispate mimba kwa sababu mwanae bado mdogo.

Nalileta kwenu hili waungwana ili mnipe muongozo, najua wengi wenu mlipitia hili ama mnapitia hili.

Nye mlitumia njia gani kukinga mimba?
Ndomu
 
Exactly
Acha ubinafsi kiongozi mjali mwenzio. Mtoa mada miezi sita ulikaa bure bila Kula mzigo? Basi kongole kwako. Mie ana mwezi na nusu tu sasa nishakula mzigo mara tatu. Shida kila mtu anamtamani mwenzie. Alijifungua kwa njia ya kawaida akapigwa stitchies nje na ndani lkn 7 days toka ajifungue akawa fiti baada ya mwezi akasema nile mzigo. Tulijaribu kuvaa soksi lkn katikati ya game tukatupa kulee tukaendelea kucheza peku. Huwa nachomoa fasta wakati wa kutupia mzigo ingawa najua namwacha njiani lkn anasema it's ok mpaka atakapokwenda weka kinga. Kwa uzoefu wangu ukiona mwanaume anakaa miezi sita hajagusa papuchi basi wewe mke jua kuna mchepuko unakusaidia labda huyo jamaa awe sio rijali.
 
Katika jambo lililonishinda na hili.jamani...yaan nimefeli vibayamno...kama ww sio mtumiaji wa kinywaji nenden na kalenda...ila siku za hatari mwili unawaka balaa...!wanangu wote niliwapata kwa njia hizo za kijinga jinha eti kuwithdraw😏😏😏!

mie njia za uzaz salama sizitak za hospitalin..naskia hamu inakuwa chini sana ya kusex💃💃💃💃..hvyo naishi kama bundi tu
 
Ha hahaaa,,et km bundi[emoji23][emoji23][emoji23]

Km bundi ndo inakuaje mkuu??
Katika jambo lililonishinda na hili.jamani...yaan nimefeli vibayamno...kama ww sio mtumiaji wa kinywaji nenden na kalenda...ila siku za hatari mwili unawaka balaa...!wanangu wote niliwapata kwa njia hizo za kijinga jinha eti kuwithdraw[emoji57][emoji57][emoji57]!

mie njia za uzaz salama sizitak za hospitalin..naskia hamu inakuwa chini sana ya kusex[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]..hvyo naishi kama bundi tu
 
Back
Top Bottom