Nina IDEA YA BIASHARA upande wa advertisement, naogopa kui expose kwa watu kiholela, pia naogopa kuisajili kuhofia kuibiwa na hao wanaosajili (Kuichakachuliwa), sina uwezo mkubwa wa kuwazuia na naamini idea yangu "HAKUNA TANZANIA NZIMA" Sijui nifanye nini? nisaidieni naomba!
Depending on the idea sevaral option available
- secrecy
-sign non disclosure agreement
-copyright protection
-registred design protection
- patent protection
Fatilia kesi kati ya Faulu kenya na Safaricom. www.mobile.nation.co.ke/News/8id-to-settle-M-Shwari-row-in-tribunal-rejected--/-/1290/1648756/-/format/xhtml/-/o1m8ab/-/index.html
Nina IDEA YA BIASHARA upande wa advertisement, naogopa kui expose kwa watu kiholela, pia naogopa kuisajili kuhofia kuibiwa na hao wanaosajili (Kuichakachuliwa), sina uwezo mkubwa wa kuwazuia na naamini idea yangu "HAKUNA TANZANIA NZIMA" Sijui nifanye nini? nisaidieni naomba!
tatizo hiyo idea yako ni siri yako na sisi humu JF hatuna hata hints juu ya hiyo idea yako so ni vigumu kukupa ushauri. maybe uwashirikishe wakuu wa dini yako hiyo idea yako labda hao watakuwa waaminifu!ukiogopa kupata hasara kamwe hutofanya biashara!
Usipotoshe watu mkuu. Hao wamarekani huweka wazi vitu vyao wakati tayari vimeshaingia au vimebakiza muda mfupi kuingizwa sokoni.Jamaa nisha mwambia Aidea kama aidea haiwezi kuwa siri, Nchi kama Marekanina Urusi wanapo kuwa na Mpango wa Kuunda Ndege mpya ya Kijeshi hutangaza hazarani kabisa na hata kuweka aina ya Ndege, na ubora wake Ila kinacho fichwa ni techinic chache sana,
Leo mimi naweza kuwa na wazo bora la Biashara ya Utalii na nikaita hata mkutano na kuwaeleza watu, wazo langu, na mambo mengine, Ila kitakacho tofautisha ni jinsi ya kuimplement, na njia zipi utatumia,
Asikudanganye mtu mawazo yanafafana kila mahali, ila kwa sasa utafauti upo kwenye implementation yake itakuwa vipi. CHUKULIA MFANO WA NDEGE ZA BOENG NA AIR BUS, zinafanana ila kuna feature chache sana zinatofautiona tena unaweza kuta ni feature kama mbili tu
Usipotoshe watu mkuu. Hao wamarekani huweka wazi vitu vyao wakati tayari vimeshaingia au vimebakiza muda mfupi kuingizwa sokoni.
Na pili mfano wa ndege ulioletwa hapa ni tofauti na mazingira tunayoongelea. Ndege zinatengenezwa kwa kutumia principal za physics ambazo ziko open tofauti na wazo la biashara.
Basically wazo lake lime base kwenye hiyo inayoita implementation. Kwa kuwa biashara ni zile zile zilizopo ila business model ndo zinatofautiana.
Nafikiri kama taifa ili tusonge mbele tunahitaji kuanzisha soko la mawazo ya biashara. Au bank za mawazo ya biashara which can be a completely new business or a new way of doing a certain business. Hii ni kwa kuwa watu wengi wanamawazo lakini hawana mitaji na kuna watu wanamitaji hawana mawazo. Tukitengeneza kitu kama hicho na kulinda mawazo ya watu..tutapiga hatua sana.

Nimependa sana ulivyomfafanulia na kumuweka sawa huyo jamaa hapo juu! Kwanza amefananisha vitu viwili tofauti kabisa, utengenezaji wa ndege na wazo la biashara!!! Hata hivyo nashkuru nimeenda kusajili na nipo katika hatua za mwisho...ntarudi tena kuweka wazi pindi nitakapokamilisha na mtaniambia wenyewe kama hilo wazo mmewahi kuliona popote hapa TZ?? japo ni ADVERTISEMENT ya kawaida tu ila ipo kitofauti sana.