Jamaa nisha mwambia Aidea kama aidea haiwezi kuwa siri, Nchi kama Marekanina Urusi wanapo kuwa na Mpango wa Kuunda Ndege mpya ya Kijeshi hutangaza hazarani kabisa na hata kuweka aina ya Ndege, na ubora wake Ila kinacho fichwa ni techinic chache sana,
Leo mimi naweza kuwa na wazo bora la Biashara ya Utalii na nikaita hata mkutano na kuwaeleza watu, wazo langu, na mambo mengine, Ila kitakacho tofautisha ni jinsi ya kuimplement, na njia zipi utatumia,
Asikudanganye mtu mawazo yanafafana kila mahali, ila kwa sasa utafauti upo kwenye implementation yake itakuwa vipi. CHUKULIA MFANO WA NDEGE ZA BOENG NA AIR BUS, zinafanana ila kuna feature chache sana zinatofautiona tena unaweza kuta ni feature kama mbili tu