Kama huna haraka nazo,fatilia national ID, 3 weeks unakua tayari umekipataHabarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia hela shida inakuja mimi sina kitambulisho cha kura wala cha uraia wala driving licence hivyo nimeshindwa kutoa pesa kupitia western union.je ninaweza tumia barua ya serikali za mtaa au njia gani ili niweze kutoa hiyo hela?
3 weeks ama 3 good years, maana kunalimtu humu soon linamshitaki mkuu wa NIDA maana kala 70 elfu halafu bila bila kwa 6 monthsKama huna haraka nazo,fatilia national ID, 3 weeks unakua tayari umekipata
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] 3 years!!! Ndo nasikia leo kwako3 weeks ama 3 good years, maana kunalimtu humu soon linamshitaki mkuu wa NIDA maana kala 70 elfu halafu bila bila kwa 6 months
Sent using Jamii Forums mobile app