co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Habarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia hela shida inakuja mimi sina kitambulisho cha kura wala cha uraia wala driving licence hivyo nimeshindwa kutoa pesa kupitia western union.je ninaweza tumia barua ya serikali za mtaa au njia gani ili niweze kutoa hiyo hela?