Kitanzi ni njia salama hasa kwavile haina hormones (vichocheo), hivo hutakua na haja ya kuhofu kuhusu kunenepa... vinakaa mpaka 12 years lakini ndani ya hiyo miaka unaweza kutoa wakati wowote na ukashika ujauzito bila haja ya kusubiria kama ilivo kwa njia zenye vichocheo ambapo kuna wengine wanakaa mwaka kabla ya mwili wao kurudia hali ya kuweza kushika ujauzito... vipandikizi ndi vile vinavyowekwa mkononi na ni mpaka miaka 3 ... hivi vina vichocheo hivo kutegemeana na mtu, wengine hunenepa lakini wengine walaa... ila pia utapoona una side effects muda wowote waweza kutoa na kubadili nia.... nways zipo nyingi lakini ukienda kwenye kituo cha afya utapata ushauri na counselling kutegemea na malengo yako ya uzazi na utachagua njia ikufaayao e.g unataka watoto wangapi, wapishane muda gani etc etc