asante hiyo coil ndo ile vijiti vinavyowekwa mkononi na watu wengine wanasema eti unanenepa sana na pia unableed sana eti kweli na kuna ya miaka mitano pia mie nimesikia miaka mitatu,je ni hospitali gani wanahusika na vitu hivi lakini wawe hodari

asikudanganye mtu,madawa au njia zote zakupanga uzazi za hospital zina madhara makubwasana,njia sahihi ni kukojolea nje anapokaribia kumaliza mwanaume akochomoe akojoe nje niyauhakika na nisalama.