Gongwa nyuma[/QaUOTE]
acha kuwaza uchafu
tuna mtoto moja na muda wa kuzaa mwingine badoHuna mpango wa kuzaa na huyo mume.?au wtoto wametosha?kafunge kizazi..kuepuka kunywa sumu..
nina ndoa (ya kufunga kanisan)na mtoto ambaye bado ni mdogo ndo maana naogopa kushika mimba na ukizingatia hatujaonana for more than two months,body control over each other is difficult,Tofautisha tendo la ndoa na ngono! Kuna wanandoa na wanangono, zao la tendo la ndoa ni mtoto, lakini kwa wanangono mtoto ni haramu ,,swali kama ww c Mwana ndoa kwann ufanye ngono cku za kupata mimba?
1) Usifanya tendo
2)Ongea na mwenza mweleze wasiwasi wako ili mnapofanya yeye amalizie nje
3)Tumia Kondomu kama ikibidi kufanya
4) Usitumie vidonge vya aina yoyote kabisa
5) Hii iwe mara ya mwisho, kuanzia sasa fikiria mpango wa muda mrefu wa kuzuia hizo mimba kama bado unafikiria hivyo
condom huwa inanichubua best and don't enjoy at allcondom
Mumeo unaogopa kumshikia mimba. Hapo kuna mashaka.
Mnawaibia tu watoto wetu. Ndoa gani inaogopa kuzaa?
condom huwa inanichubua best and don't enjoy at all
Msipoangalia mtambemenda bure tu Huyo mtoto kwa nyege za kijinganina ndoa (ya kufunga kanisan)na mtoto ambaye bado ni mdogo ndo maana naogopa kushika mimba na ukizingatia hatujaonana for more than two months,body control over each other is difficult,
Natumani mu wazima ndugu wanajamvi
Ninaomba ushauri wenu, katika msimu huu wa sikukuu i'm going to meet with my husband na tunaishi tofauti kwa sababu za kikazi
Sasa hizi siku ambazo tutakuwa pamoja ni siku za kushika mimba according to my calender, naomba mawazo yenu nitumie njia gani ya kuzuia mimba kwa huu muda (temporary method).
kuna rafiki yangu aliniambia yeye anakaa tofauti na mume wake na siku wanapokutana anakunywa vile vidonge vya kuzuia mimba siku mbili kabla ya kukutana na ndani ya siku watakazospend and two days later na hajawah shika mimba,je hii inaweza kunisaidia according to my thread?1) Usifanya tendo
2)Ongea na mwenza mweleze wasiwasi wako ili mnapofanya yeye amalizie nje
3)Tumia Kondomu kama ikibidi kufanya
4) Usitumie vidonge vya aina yoyote kabisa
5) Hii iwe mara ya mwisho, kuanzia sasa fikiria mpango wa muda mrefu wa kuzuia hizo mimba kama bado unafikiria hivyo
Mnawaibia tu watoto wetu. Ndoa gani inaogopa kuzaa?