Njia gani za muda mfupi huzuia mimba kuingia?

Njia gani za muda mfupi huzuia mimba kuingia?

Tofautisha tendo la ndoa na ngono! Kuna wanandoa na wanangono, zao la tendo la ndoa ni mtoto, lakini kwa wanangono mtoto ni haramu ,,swali kama ww c Mwana ndoa kwann ufanye ngono cku za kupata mimba?
nina ndoa (ya kufunga kanisan)na mtoto ambaye bado ni mdogo ndo maana naogopa kushika mimba na ukizingatia hatujaonana for more than two months,body control over each other is difficult,
 
1) Usifanya tendo
2)Ongea na mwenza mweleze wasiwasi wako ili mnapofanya yeye amalizie nje
3)Tumia Kondomu kama ikibidi kufanya
4) Usitumie vidonge vya aina yoyote kabisa
5) Hii iwe mara ya mwisho, kuanzia sasa fikiria mpango wa muda mrefu wa kuzuia hizo mimba kama bado unafikiria hivyo

1:withdraw huwa tunatumia but nadhan efficiency yake ni ndogo 2:kuhusu njia ya mda mrefu sijafikiria bado kwa sababu huwa nakutana ns mme wangu mara chache sasa nikawaza kwanini nipate athari za hizi njia za kisasa wakat 'tamu' yenyewe napata nadra!BUT ALL IN ALL THANKS FOR YOUR ADVICE
 
Nenda hospitali mara moja, watakurlrkeza clinic.
Enjoy your holidays.
 
Kwa sababu huwa unakutana na mumeo kila baada ya miezi miwili, nadhani unahitaji somehow njia itakayokuondolea wasiwasi. Kuna huu mmea unaitwa mnyonyo...kwetu kule wanaita mbalika.. mbegu zake ukiimeza moja wakati upo kwenye siku zako unakutana na mumeo voda kwa voda muda wowote kasoro wakati wa hedhi tu.
 
Mnawaibia tu watoto wetu. Ndoa gani inaogopa kuzaa?
 
Bugia flaji (zile dawa za tumbo) kama tano kabla masaa 24 hayajapita....Siwezi ku corelate na suala la mimba ila tumia hiyo njia ni nzuri
 
Mumeo unaogopa kumshikia mimba. Hapo kuna mashaka.
 
Chukua ndoo ya maji ya lita 20, jaza maji kisha hakikisha unagegedwa kwa staili ya chuma mboga huku kichwa chote umekiingiza ndani ya hiyo ndoo yenye maji.
 
nina ndoa (ya kufunga kanisan)na mtoto ambaye bado ni mdogo ndo maana naogopa kushika mimba na ukizingatia hatujaonana for more than two months,body control over each other is difficult,
Msipoangalia mtambemenda bure tu Huyo mtoto kwa nyege za kijinga
 
Natumani mu wazima ndugu wanajamvi

Ninaomba ushauri wenu, katika msimu huu wa sikukuu i'm going to meet with my husband na tunaishi tofauti kwa sababu za kikazi

Sasa hizi siku ambazo tutakuwa pamoja ni siku za kushika mimba according to my calender, naomba mawazo yenu nitumie njia gani ya kuzuia mimba kwa huu muda (temporary method).

Ni PM..........
 
1) Usifanya tendo
2)Ongea na mwenza mweleze wasiwasi wako ili mnapofanya yeye amalizie nje
3)Tumia Kondomu kama ikibidi kufanya
4) Usitumie vidonge vya aina yoyote kabisa
5) Hii iwe mara ya mwisho, kuanzia sasa fikiria mpango wa muda mrefu wa kuzuia hizo mimba kama bado unafikiria hivyo
kuna rafiki yangu aliniambia yeye anakaa tofauti na mume wake na siku wanapokutana anakunywa vile vidonge vya kuzuia mimba siku mbili kabla ya kukutana na ndani ya siku watakazospend and two days later na hajawah shika mimba,je hii inaweza kunisaidia according to my thread?
 
Back
Top Bottom