Njia gani za muda mfupi huzuia mimba kuingia?

Njia gani za muda mfupi huzuia mimba kuingia?

Msipoangalia mtambemenda bure tu Huyo mtoto kwa nyege za kijinga
ndo maana nimeomba ushaur ili nisimbemende,na siyo nyege za kijinga hujaonana na mtu wako kwa miezi miwili,ntajizuia vp tena!
 
Natumani mu wazima ndugu wanajamvi

Ninaomba ushauri wenu, katika msimu huu wa sikukuu i'm going to meet with my husband na tunaishi tofauti kwa sababu za kikazi

Sasa hizi siku ambazo tutakuwa pamoja ni siku za kushika mimba according to my calender, naomba mawazo yenu nitumie njia gani ya kuzuia mimba kwa huu muda (temporary method).

Ops sorry. Majivu yanaleta kansa nimesikia
Njia za kuzuia usipate mimba kwa njia za Tiba Mbadala ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyez hapa.Mawasiliano
 
Tumia condom,kama mnaenda kavukavu ongea na mumeo kama anaweza kutumia na kuimudu withdraw out method
 
Njia nzuri ni kupizii njee kama kwny muvi za x usiobe kinyaa akumwagie usoni aubuyamezee yoootee
 
Back
Top Bottom