Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz hii au ughaibuni?
Bongo hapa hapa! Tena picha hii nimeichukua tar 28 Dec 2010.Tz hii au ughaibuni?
Hii ni Tz mkubwa nchi yetu ina rasilimali nyingi! Huo unaouona mbele ni msitu wa Sao Hill
hapa ni mafinga karibu na njia panda ya kwenda Mufindi kwenye mashamba ya chai.
Mbona msitu na hiyo njia umefanana kama makalio ya mtu.
Mbona msitu na hiyo njia umefanana kama makalio ya mtu.
Bongo hapa hapa! Tena picha hii nimeichukua tar 28 Dec 2010.
Duh aisee kwakweli mandhari inavutia..tuna Nchi nzuri sema basi tu.
Majirani wanaitolea macho ardhi hiyo yenye rutuba.
Nchi nzuri na ndo maana inauzwa kwa bei ya kutupa, huo msitu walishajimegea long time, watu wanaupukutisha lakini jitihada za kupanda miti ni ndogo.Duh aisee kwakweli mandhari inavutia..tuna Nchi nzuri sema basi tu.