njia ipi inamaliza bando kwa haraka zaidi Kati ya hizi

njia ipi inamaliza bando kwa haraka zaidi Kati ya hizi

Ku gonga "like" humu ndio zinafyonzeka kuliko hivyo vyote ulivyotaja hawali.
 
Ku watch online ndo inakula zaid, mfno wimbo una dakika4 ukiamua kudownload hta dakika1 haishi utakuw ushamalza, wakt kuwatch itakuchkua hzo dakika 4 zote, maana ze more ze dakika watching hta MBs znaenda nyingi.
 
Youtube ni nyoko asikwambie mtu.... Ila kudownload nako hakuko nyuma hasa video kubwa kama movie au series
 
9c16a495bca5e74adbd88c7185e31495.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hivi aliwaza nini kupiga hiyo picha?
 
Nahisi watu hawajakuelewa

Mm nimekuelewa hivi..kuplay au kudownload the same movee ni lipi linakula sana Mb?
Mfano movee ya rambo kuwatch online na kuidowload ipi nitasave mb?
Inategemea na quality ya video unayostream au kudownload zote ziko sawa kama ni 720p 500 Mb streaming/download ni sawa
 
Dah... faili lile lile...ukubwa uleule...hakuna tofauti kwanye matumizi ya bando(data). Ila ukidaunlod ndiyo hasara zaidi...unatumia sehemu kubwa ya kumbukumbu(memory) yako .....pia luku (energy consumed) itakuwa mara mbili Zaidi ya kuangalia kwa kuungwa (online)😀😀😀
 
Kuplay video you tube ni hatari kwa afya za mb.
 
wewee fuatilia mambo yasiyokuhusuuu ndo utaonaaaa zinavyoendaaa kamaaa majiiiiiiiiiii
 
Jamaa hataki uzee kabisa, jaani hapo anakangua kil unywele unaoota anahakikisha anakuwa kipara kabisa, mvi zitamwaribia

Hivi inakuwaje mtu mzima kama huyu anaweka picha kama hii kwenye mitandao?
 
Kudownload kuna save mbs sana maana utadownload ktk quality na ukubwa tofauti. Jaribu kutumia videorder huwa ina download links za format mbalimbali.

Mimi huwa nastream ninapoangalia tv live, lakini vinginevyo nadownload.
 
Back
Top Bottom