Njia ipi ni rahisi kusafiri na gari kutoka Manyoni kuelekea Nzega?

Itigi, ndio njia yangu, barabara nzuri na pia haina magari mengi na askari wa barabarani sio wengi inapunguza kusimamasimama
 
Hapo ndio nimekunja kushoto baada ya kuivuka reli Manyoni(round about), naitafuta tabora taratiiibu ndani ya Nissan safari, nimefika hapo kwa traffic wananipungia mkono tu.
 
Umefika?
 
Back
Top Bottom