Flowerpot
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 215
- 309
Natengeneza system kwaajili ya final project. Nahitaji kuweka njia ya kulipa ambayo watanzania wengi wanatumia. Kwahiyo nikafikiria mobile money.
Lakini nimeangalia API documentations zao zipo kama zimeandikwa na robot, kasoro m-pesa wenyewe afadhali, tatizo C2B single payment inahitaji uwe na line ya wakala, kitu ambacho siwezi kukipata. Je kuna njia nyingine rahisi?
NB: Website inatengenezwa na
css,
html,
js
na node.