ki ukweli njia rahisi ni iyo ya mobile money unayoikwepaJe kuna njia nyingine rahisi?
Nami nafanya project inayohitaji malipo , changamoto yangu ni kama yako, hivi hizi mpesa imekaaje kuziweka kwenye siteNatengeneza system kwaajili ya final project. Nahitaji kuweka njia ya kulipa ambayo watanzania wengi wanatumia. Kwahiyo nikafikiria mobile money.
Lakini nimeangalia API documentations zao zipo kama zimeandikwa na robot, kasoro m-pesa wenyewe afadhali, tatizo C2B single payment inahitaji uwe na line ya wakala, kitu ambacho siwezi kukipata. Je kuna njia nyingine rahisi?
NB: Website inatengenezwa na
css,
html,
js
na node.
Dah sawa mkuu basi inabidi nikomae nazo hivyo hivyo.ki ukweli njia rahisi ni iyo ya mobile money unayoikwepa
vinginevyo, kuna stripe gateway, hii mtumiaji anatumia credit/debit card (hata virtual cards)
naona kuna lib yake kwa node js
Check na hizi online payment gateways like pesapal au selcom. Watakupa API zao ambazo zinakuja na mobile payments za mpesa,airtel money na tigopesa plus visa,mastercard na american express payments.Natengeneza system kwaajili ya final project. Nahitaji kuweka njia ya kulipa ambayo watanzania wengi wanatumia. Kwahiyo nikafikiria mobile money.
Lakini nimeangalia API documentations zao zipo kama zimeandikwa na robot, kasoro m-pesa wenyewe afadhali, tatizo C2B single payment inahitaji uwe na line ya wakala, kitu ambacho siwezi kukipata. Je kuna njia nyingine rahisi?
NB: Website inatengenezwa na
css,
html,
js
na node.
Hawa pesapal nimewaangalia wanahitaji biashara iwe imesajiliwa. Selcom pia wanahitaji uwe na huduma account.Check na hizi online payment gateways like pesapal au selcom. Watakupa API zao ambazo zinakuja na mobile payments za mpesa,airtel money na tigopesa plus visa,mastercard na american express payments.
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app