Nenda kaulize utaratibu utawala mkuu. ingia ofis ya director of undergraduate anaitwa profesa msoffe hapo atakusaidia kila kitu. n mtu mzur sana kuliko watawala wote udom
Ahsante kaka kwan na mim n muhanga vp kwahyo nisifanye registration kabsa japo nilishalipia pesa zao bank eeeeee na kama msofe hayupo itakuwa pouwaaaaaaa kwa nan mwinginee