Njia ipi rahisi ya kuhama kozi chuo cha UDOM

Njia ipi rahisi ya kuhama kozi chuo cha UDOM

Mrope Sir

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
41
Reaction score
0
Anayefaham njia ya kuhama kozi kwa urahis ndan ya UDOM ingawa ajaanza fanya usajiri.

Naomba maelekezo!
 
Nenda kaulize utaratibu utawala mkuu. ingia ofis ya director of undergraduate anaitwa profesa msoffe hapo atakusaidia kila kitu. n mtu mzur sana kuliko watawala wote udom
 
Ahsante kaka kwan na mim n muhanga vp kwahyo nisifanye registration kabsa japo nilishalipia pesa zao bank eeeeee na kama msofe hayupo itakuwa pouwaaaaaaa kwa nan mwinginee
 
Back
Top Bottom