Wewe upo kama mimi, sijawahi kushuhudia kucha zangu zikiwe ndefu๐๐natumia meno
tena sijui mda gani nazikata
nakuta tayari nishazikata
Kuna ubaya gani kama ni ya kwangu๐unakula mavi๐๐ฅน
kapicha basiWewe upo kama mimi, sijawahi kushuhudia kucha zangu zikiwe ndefu๐๐
Haka katabia sijui nilianza lini huwa kanaboa sana ila ndo hivyo mazoea yana tabu๐คจWewe upo kama mimi, sijawahi kushuhudia kucha zangu zikiwe ndefu๐๐
mbona sijawahi kimbiza mwenge ?hongera kwa kula mavi bila kujua
Mimi sioni kama ni shida,, nishazoea yani ma siwezi kuacha๐๐Haka katabia sijui nilianza lini huwa kanaboa sana ila ndo hivyo mazoea yana tabu๐คจ
umesahau kidole cha mwisho mbona, naona kakucha bado karefu kimtindoHizo hapo๐๐
Hongera ila uache kuuma kucha..Aibu ninazo ๐๐
Niliwahi kujaribu nikashindwa mkuuHongera ila uache kuuma kucha..
Pole ipende tabia yako hakuna namna...๐Niliwahi kujaribu nikashindwa mkuu
Muone ๐๐umesahau kidole cha mwisho mbona, naona kakucha bado karefu kimtindo
Jamani๐๐๐๐Kumbe kucha hua zinakatwa?
Asante kwa hii elimu.
Sema wanakata na kuvitafuna nishawaona wengi baada ya kukata hawatemi!Ivi kwann wanao kataga kucha na meno,Mara nyingi vikucha vyao havinaga mvito yaan vifupiiiii.
๐๐๐Kuna ubaya gani kama ni ya kwangu๐
hata mimi sijawahi kimbiza mwengembona sijawahi kimbiza mwenge ?
Uzuri wa nail cutter ni vigumu sana kujikata mpaka kutoa damuNail Cutter ndio njia salama kwa afya yako na usalama wako
Mungu amekupa akili ya nini kama jambo dogo hivi unashindwa kung'amua?Mungu amekupa meno ya nini Sasa?