Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ahsante sana AmigoKaribu tena without any doubt you were missed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana AmigoKaribu tena without any doubt you were missed.
Hahahaha ulipotelea wapi aisee?Ngoja niutafute, isijekuwa uzi wa kunitishia jehanam hahahaha, huwa sisahau mambo yako ya jehanam
Nipo friend nipo si unajua tena shughuli za kibaharia tehHahahaha ulipotelea wapi aisee?
Jamaa mmoja hapa ghetto anajua njia za uzazi wa mpango kuliko mademu zake wote. Anamiliki P2, flagyl na Coca baridi hazikosi kwake. Anavusha sana siku hizi ila hajanasisha mimba. Kaanza kitambo alishawahi bebesha mimba tatu zote wakazitoa. Sasa hivi anakwepa mimba vibaya mno yani ana mbinu balaa sijui kazitoa wapiYa majivu nilishawahi kusikia.
Hiyo ya kitambaa aisee wanawake tuna shida....
Wakati nafanya fanya uasherati flagyl nimetumia [emoji55] haikuwahi kunikataa
Haiko effective kabisa, kasome bios tena kuna zile vihelehele zinashoot mapema sana.
Duuh! Is this really effective?hahaa ya kitambaa ndio hivo panya akiiburuta ndio usahau kubeba ujauzito
pia unanuia na kufunga mafundo kulingana na miaka unayotaka
Na wale wanandoa wapya ambao wanakaa miaka miwili bila mwanamke kupata mimba wanatumia kinga gani?[emoji28]
Siwezi mvalia kavelo mke wanguNdomu na Kalenda.
Hao hao kina magonjwa mtambukaNdo hawa wanaotusumbua nn humu ndani
hahaha majivu anakunywa mwanamke baada ya tendo inafanya kama emmergency pills zinavofanya
mnyonyo huu ni mmea i really dont know exactly what its biological name ni mti flani una vimbegu vina kama miiba sasa mwwnamke anameza baada ya period yake kwisha anameza hizo tumba according na muda anotaka kuzuia mimba kumbuka sio minyonyo yote inafanya hio kazi ni ile inayojiotea yenyewe ndio husema ni the best
kuhusu kufunga kitambaa hii nayo mwanamke anachukua kitambaa alichotumia kuingia hedhi hakifui anakichukua na uchafu wake anafungia kama ni kabatini au kwenye chupa na kuificha mbali mtu asione wala panya sije akatambaa nacho
kuna flagyl pia lakini zote hizo bado zimesaliti mtu anatumia na mimba akabeba
Niliona upo banned shida ilikua niniNipo friend nipo si unajua tena shughuli za kibaharia teh
hahahahha una bahati at least a girl knew her worth, izo p2 ni emmergency pills inafanya kaz kama mtu amebakwa or condom ilipasukia na anameza within 72 hours anavyomeza kwa kuwahi ndio ufanisi hufanya kaz zaidiThank you for your selflessness. Elimu kubwazzz
Its clear. But io ya kitambaa details sijazipata sawa sawa... its more of a superstition... una add madawa kwenye icho kitambaa na manuizi au..?!
Io ya flagyl unafanyaje? Cause kuna demu mmoja nilikua najipimia tu asa alikua student pale Makongo high xul alikua ananipa sana ila mimi nilikua na hofu sana kwambazz cku akijaa nitakua dragged to a millitary cell na maticha wake wajeda... anacheka san... ananitoa hofu anasema anatumia ayo madawa sijui flagyl/P2 mi ckufatilia sn... those days haha i were so young and amateur... i had a geto and she used to love coming anytime as in almost daily when she feels horny... Me, so worried but could not resist a raw screw.. now that i have big sister Madame S , its time to know... so keep dropping that education mama
honestly sio kwa asilimia mia sababu watu wapo waliotumia na bado wakanasaDuuh! Is this really effective?
Maana ni rahis sana, sema ndo watu wengi hatujui kuhusu hii method.
Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
Daah aiseee nimekosa hata cha kumuambia ila nimefurahi sana kumuona tena. Hanifahamu ila basi tu namkubaligi sana michango yake humu.