Kama mada ilivyopandishwa hapo juu, yafuatayo ni masuala hatari sana kuyakabidhi kwa wageni kukodi, kubinafisisha au kuuza kwao maana yanahatarisha usalama wa nchi na uchumi wake wa ndani na nje
1. Usafiri wa anga
2. Usafiri wa maji wa nchi kutoka nchi moja au bara kwenda kwingine
3. Bandari
4. Viwanja vya ndege na ndege zake
5. Reli
6. Mawasiliano
7. Nishati
8. Madini
9. Serikali mtandao (E-Government)
10. Maji
11. Jeshi
12. Mahakama
13. Maliasili
14. Ardhi
15. Anga
Wenye dhamana ya utawala wajihadhari kuja kuwaletea shida wananchi huko mbeleni
Siku yule bonge aliponyanganya silaha askari wetu akaanza kutamba pale mitaa ya ubalozi wa Ufaransa uliona mwanasiasa au mbunge yeyote kuja frontline??? Vipi Yanga kwenda Algeria?! Hivyo vyote ni vita ujue vinavyo husisha mapambano ya watu.