Wakuuu naombeni msaada wa kujua ni wapi ntapata njia mbadala ya kunyoa vinyweleo katika mwili wangu hasa makwapa na huku chini maviwembe yananitoa mapele kila kukicha nimesikia kuna utaalam wa kubandua bila kunyoa lakini je hii kwetu hapa tanzania inapatikana wapi kwakweli kwa gharama yeyote ile niko tayari kuifuata huduma hiyo mbadala kuliko haya majinyembe.