Njia mbadala ya kunyoa vinyweleo

Njia mbadala ya kunyoa vinyweleo

Jomos

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
89
Reaction score
25
Wakuuu naombeni msaada wa kujua ni wapi ntapata njia mbadala ya kunyoa vinyweleo katika mwili wangu hasa makwapa na huku chini maviwembe yananitoa mapele kila kukicha nimesikia kuna utaalam wa kubandua bila kunyoa lakini je hii kwetu hapa tanzania inapatikana wapi kwakweli kwa gharama yeyote ile niko tayari kuifuata huduma hiyo mbadala kuliko haya majinyembe.
 
tumia disposable bic au gillete oroginal wakati wa kunyoa usitumie sabuni ukimaliza jisafishe na maji ya moto yenye dettol kausha kwa taulo paka ndimu lakini kwa ufahamu wangu vinyeleo huwa havinyolewi
 
koroga majivu na kisha paka sehemu ya kwapa na sehemu ya siri yakisha kauka chukua kitu kama jiwe laini pitisha kama unasugua
 
Ya babue kwa moto ndio njia rahisi hata hivyo vidudu ya upele vitakufa. Chezea moto weh
 
chukua sukari + maji kuroga hadi iwe nzito jimwagiee hayo maeneo ikishakauka anza kubandua sukarari inatoka na nywele za huko ...
 
Nimeambiwa kuna wax je hii ni kutu gani na inauzwa madukani gani au yapatikana wapi?Nina miezi minne sijanyoa kwa bibi nahisi mifugo itahamia
 
Hvi karne hii bado tu kuna watu wanatumia viwembe kunyolea mavuzi?
 
Kitaalamu watu huwa na mzio na vitu fulani fualni ambavyo hutokana na kemikali fulani au mchanganyiko fulani, kama viwembe na sabuni ni tabu, jaribu kutumia shaving powder mbali mbali mpaka upate ile itakayo kufaa, lakini pia ukimaliza nyoa hakikisha unapata after shave nzuri, ambayo pia hutegemea reaction ya ngozi yako, ningependekeza Fa au zile za Forever Living for a starter napata kigugumizi kukushauri kutumia magic, kwa ushauri zaidi muone daktari wako wa ngozi.
 
Back
Top Bottom