Kitaalamu watu huwa na mzio na vitu fulani fualni ambavyo hutokana na kemikali fulani au mchanganyiko fulani, kama viwembe na sabuni ni tabu, jaribu kutumia shaving powder mbali mbali mpaka upate ile itakayo kufaa, lakini pia ukimaliza nyoa hakikisha unapata after shave nzuri, ambayo pia hutegemea reaction ya ngozi yako, ningependekeza Fa au zile za Forever Living for a starter napata kigugumizi kukushauri kutumia magic, kwa ushauri zaidi muone daktari wako wa ngozi.