nina mbuga za wanyama
Wakuuu naombeni msaada wa kujua ni wapi ntapata njia mbadala ya kunyoa vinyweleo katika mwili wangu hasa makwapa na huku chini maviwembe yananitoa mapele kila kukicha nimesikia kuna utaalam wa kubandua bila kunyoa lakini je hii kwetu hapa tanzania inapatikana wapi kwakweli kwa gharama yeyote ile niko tayari kuifuata huduma hiyo mbadala kuliko haya majinyembe.
sasa huwa unatumia nin kupunguza nyazsi au we unachoma?
nataka nije kutumia jembe ama fekeo
koroga majivu na kisha paka sehemu ya kwapa na sehemu ya siri yakisha kauka chukua kitu kama jiwe laini pitisha kama unasugua