Njia mbadala ya kunyoa vinyweleo

Njia mbadala ya kunyoa vinyweleo

Mimi nilikuwa na tatizo sawa na Hilo na nikawa natumia cream kwa jina NAIR ambayo inasafisha vizuri Sana. Tafuta cream hiyo na matatizo yako yataondoka. Hapa Zenji zipo kwenye pharmacy na Bongo zitakuwepo pia.
 
Wakuuu naombeni msaada wa kujua ni wapi ntapata njia mbadala ya kunyoa vinyweleo katika mwili wangu hasa makwapa na huku chini maviwembe yananitoa mapele kila kukicha nimesikia kuna utaalam wa kubandua bila kunyoa lakini je hii kwetu hapa tanzania inapatikana wapi kwakweli kwa gharama yeyote ile niko tayari kuifuata huduma hiyo mbadala kuliko haya majinyembe.

nunua MASHINE ya kunyolea aina ya home cut
 
Tumia hair removal darling. Ni cream zipo kwenye tubes zapatikana pharmacy na supermarkets zote
 
Back
Top Bottom