Njia moja ya kutoboa maisha bila kuumiza kichwa au kuiba

720,000,000/100 = 72,000,000/= ❌
720,000,000/100 = 7,200,000/= ✔

Mradi umefia kwenye hii post. Wazo zuri zaidi kuwahi kutolewa na kilaza.
 
Uko sahihi
 
Siku zote USHIRIKIANO ndio MAFANIKIO.


"Hata kwenye Biblia, Kuna stori ya Mnara wa Babeli,watu walikuwa wanajenga mnara kufika mbinguni na Mungu aliona kwa ushirikiano uliokuwepo, walikuwa wanafanikiwa"

Ndio maana, hakuna Jambo gumu kufanya Kama USHIRIKIANO.


Pili, Sasa hivi Wabongo Wana Roho Kali sana ya TAMAA, DHULMA na KUKOSA UTU kiasi kwamba wamepoteza Imani za watu wengi.

Ni rahisi tu, kuchangia pesa halafu unasikia watu wanakimbia nazo na hakuna kitu watafanywa.
 
Nimecheka post . Nimecheka comments. Kuna watu ukiamua kuwatapeli humu jf uanatapeli kirahisi sana. Unawachanganyia tu namba😂😂😂
 

Bado hiyo miaka mitano hayo mashamba ya kukata viwanja yanawasubiri nyinyi na hela yenu ...Kwa bei ya sasa ? ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…