Njia mojawapo ya kuondoa stress ni kucheza games

Njia mojawapo ya kuondoa stress ni kucheza games

Joined
Apr 3, 2013
Posts
73
Reaction score
11
Kuna wakati unakuwa una mawazo mengi hata wengine wanadhani kuondoa mawazo hayo ni kutumia pombe au mawada ya kulevya kama bangi, Hiyo sio njia sahihi kwani utaongeza mawazo zaidi baada ya kufanya maovu/uhalifu kutokana na ulevi.

Jaribu kutumia njia hii ya kucheza games itakusaidia. Unaweza download games na kuziweka kwenye kompyuta yako au ukacheza live na wenzako duniani kwote mkishindana nani atapata alama/score nyingi zaidi, pia mtabadilishana mawili matatu online. Kuna online games play stations nyingi sana wewe search utazipata. Wanasema usihubiri kitu usichokitenda mimi nacheza games online kila siku na games play station yangu ni hii hapa
 
Huku kijijini computer zenyewe hatuzijui kwanza hakuna umeme. Tucheze games zipi zisizohitaji computer?
 
Huku kijijini computer zenyewe hatuzijui kwanza hakuna umeme. Tucheze games zipi zisizohitaji computer?
Kama umeweza kuandika hapa jf basi utakuwa na simu yenye uwezo wa kucheza games online. Pia simu nyingi zina games. ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom