Njia mpya ya kumpata umpendae

Njia mpya ya kumpata umpendae

Niliiona hili last month I think, Ila ilikuwa imeandikwa kwa kiingereza.
 
Daaa kwa kizazi hiki na hali ya uchumi ilivyo nakubaliana na ww [emoji817]%

[emoji745]%
 
yani ukifanya hivyo automatically umekula papuchi

Nakwenda_Zimbabwe
 
Wanawake ni somo kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
images-2.jpg


Nakwenda_Zimbabwe
 
Acha kumwuliza mwanamke kama ana boyfriend, mtoe out mnunulie msosi, kinywaji, mfanye acheke, mnunulie kila anachokihitaji kam n sim, nguo na vingne then mwache achague mwenyew kama yuko single ama double.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
akili zangu nazijua mwenyew..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hawa wa siku hizi sidhani kama utaweze kumnunulia kila anachokihitaji!
 
Back
Top Bottom