Njia ntakazotumia kuondoa squatter zilizotapakaa nchi nzima

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Wote ni mashahidi miji ya Tanzania ina sifa moja mingi ina squatter zifuatazo ni njia ambazo ntazitumia kuondoa hizi squatter zilizopo kama sehemu ya kuifanya nchi kuwa nzuri kama nchi zilizoendelea
Your browser is not able to display this video.
 
  • Historia Operesheni vijiji iliwaondoa kutoka vijiji asili na kuwaleta barabarani kuanzia DSM njia nzima Kibaha ,Msavu, Iringa, Mbeya Tunduma
  • Sekta ya rasmi ya kilimo kufa vijijini hivyo watu kukimbilia mjini kuanzisha sekta zisizo rasmi umachinga, mama ntilie, bodaboda, bajaj
  • Vipato visivyo rasmi watu kujenga makazi yasiyo rasmi
  • Kukosekana sera ya kuanzisha sera rasmi zenye ajira rasmi kwa maelfu mijini
  • Wasiokuwepo ktk sekta rasmi za ajira kwa mamilioni kutokopesheka mikopo ya benki
  • Mipango miji ya kuanzia vijijini, miji midogo, miji na majiji kutokuwepo kabisa ktk ngazi ya uongozi wa vijiji, wilaya, miji na majiji
  • Umasikini unapelekea makazi duni nyumba mapangale, maghofu, vibanda, mapaa kugopakwa rangi
 
Kwenye video nimeelezea njia ya kufanya miji yetu kuwa mizuri
 
Hizo zote ni blablah.
Chanzo ya yote ni viongozi/watawala au watendaji wasio sahihi.
 
Hizo zote ni blablah.
Chanzo ya yote ni viongozi/watawala au watendaji wasio sahihi.

Viongozi haramu kuanzia ngazi za kijiji, tarafa, wilaya, mkoa, kanda hadi Taifa wanazuia wananchi kujiamulia kupanga makazi ya kuwa bora kwa kutenga njia, miundo mbinu ya mifereji, nyumba zigeukie wapi n.k
 
Mkoloni wanayemtaja kama beberu alipanga miji vizuri na kuiwekea huduma za kijamii kuliko hata haya majizi ya kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…