AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Hali ya usalama imezidi kuzorota nchini Sudan baada ya kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Kila shughuli ya kibinadamu imesimama. Wasiohusika na vita wanakimbia kunusuru maisha yao.
Hali hiyo imesababisha Kocha wa Al Hilal ya nchini humo kukimbia. Hii inafungua neema kwa klabu ya Azam FC ambayo ilikuwa inamuwinda kocha huyo ili kukinoa kikosi hicho kisichokuwa na kocha mwenye vyeti hadi sasa. Hakika kocha Ibenge akitua pale Chamazi basi Azam FC itakuwa imepata bonge la kocha wa mpira. Ni muda sahihi kabisa kwa Yusuf Bakhresa kukutana na kocha huyu na kumalizana nae mapema na kujiandaa maandalizi ya kuchukua kombe la CAF shirikisho pamoja na ligi kui ya NBC. Kocha huyo amewahi kuchukuchukua kombe la CAF shirikisho akiwa na klabu ya Berkane ya nchini Morocco mwaka jana.
KARIBU AZAM FC FLORENT IBENGE.
www.bbc.com

Sudan crisis: The football coach forced to flee Khartoum
Florent Ibenge, in charge of the country's leading club, hopes to be reunited with his players soon.