Njia nyingine kwa wanaomaliza form 4

Njia nyingine kwa wanaomaliza form 4

MwanazuoniMJ

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
66
Reaction score
30
Kwa miaka ming imezoeleka m2 kusoma o level kwa miaka minne halaf a level kwa miaka 2,lakn kwa dunia yetu ya sasa ambayo inahtaj wa2 wenye ujuz kulko maneno meng ni vema kujiunga na technical college kwa kufanya hvyo utakuwa umeokoa miaka 2 ya kuendelea kusoma theories ambazo in real sence haztakusaidia.two years with knowledge or three years with knowledge and skills.
 
Nakuunga mkono mkuu binafsi naona advanc ni njia ndef kufikia mafanikio...bora techncal schools au collage itasaidia, tena kukuepusha na risk ya kufail sababu techncals schols/colager risk ya kufail n ndogo kulingnisha na advance.
 
Kwa miaka ming imezoeleka m2 kusoma o level kwa miaka minne halaf a level kwa miaka 2,lakn kwa dunia yetu ya sasa ambayo inahtaj wa2 wenye ujuz kulko maneno meng ni vema kujiunga na technical college kwa kufanya hvyo utakuwa umeokoa miaka 2 ya kuendelea kusoma theories ambazo in real sence haztakusaidia.two years with knowledge or three years with knowledge and skills.

kweli mkuu.elimu yenyewe ya sec asilimi kubwa tuna meza kuliko kuelewa utakuta mtu anameza law na principle za physics ukimuuliza umeelewa nn au umejifunza nini hajui
 
Back
Top Bottom