MwanazuoniMJ
Member
- Nov 28, 2012
- 66
- 30
Kwa miaka ming imezoeleka m2 kusoma o level kwa miaka minne halaf a level kwa miaka 2,lakn kwa dunia yetu ya sasa ambayo inahtaj wa2 wenye ujuz kulko maneno meng ni vema kujiunga na technical college kwa kufanya hvyo utakuwa umeokoa miaka 2 ya kuendelea kusoma theories ambazo in real sence haztakusaidia.two years with knowledge or three years with knowledge and skills.