Njia nzuri ya kufanya diagnosisi kwenye gari

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,209
wakuu kuna njia kuu 2 za kufanya diagnosis kwenye gari.

kwakutumia mashine na kwakutumia softwere ambazo huwa una install kwenye laptop or pc au phone na kuzitumia.

mm nimekuwa natumia mashine na kiukweli bado hizi mashine hazijitoshelezi unakuta kuna baadhi ya gari zinagoma au unakuta kuna gari hazipo kabisa kwenye mashine husika hivyo inakuwa ni usumbufu na ukitegemea hizi mashine zinauzwa bei kubwa sana.

nilikuwa na wazo la kuanza kutumia laptop kwa faida ya haraka haraka niliyoiona mm ni kuwa katika laptop 1 unaweza ukawa hata na softwere 10 za universal ambazo naamini huwezi kwama au ukaamua kununua kwa magari husika mfano ya softwere maalum kwa toyota inamaana gari yoyote ya toyota huwezi shindwa kuto diagnosis.

ukawa na ya nissan,subaru,honda,mistubish isuzu jeep,bmw,benz n.k

swali langu je hasara za njia hii ni zipi hasa.maana nikiangalia garama za mashine na garama za kutumia laptop naona kuna utofauti mkubwa sana.

tusaidiane kwa aliye wahi tumia.njia hii au ambaye bado anatumia
 
Shida ya software za PC nazo same story zinachagua magari Sana tena sometime hata type make . Njia sahihi ni kununua machine sahihi Mimi natumia F car 3-g haijawahi kunilet down since then 2013 but awali nilipata taabu Sana na PC software na machine zingine
 
mkuu vipi kwenye nissan inavuruga??
 
Shida ya software za PC nazo same story zinachagua magari Sana tena sometime hata type make . Njia sahihi ni kununua machine sahihi Mimi natumia F car 3-g haijawahi kunilet down since then 2013 but awali nilipata taabu Sana na PC software na machine zingine
Unatumia kwenye lapotop au mashine?
 
Yeah iko poa mkwamo upo katika injector programin code ( ila inatambua) na hapo ndipo intelligence tester ya Toyota Ina point ( ktk Toyota tu) But nasikia wametoa f car 5 nasikia iko vizuri sana paka injector program code na imobilleizer .( kwa mujibu wa Fundi rafiki yupo Thailand)
 
mkuu nimeichungulia inaonekana ipo vizuri sana sanaa aisee maana nimecheki hata bei yake naona imesimma sana usd 5499
 
ila kwenye toyota ukiwa na its unakuwa umemaliza haishindwi kitu hapo.
 
Yeah wako vizuri na zaidi Sana kwenye European Car utaenjoy balaa full madoido . ktk hizi machine kuna nyigi ni maboya. Hivyo njia sahihi ni kufatilia ktk web yao nakucheza na forams za ma electrician kusikia maoni yao then unajua wapi ni wapi
 
mkuu unapatikana wapi??naweza pata mawasiliano yako??
 
Yeah wako vizuri na zaidi Sana kwenye European Car utaenjoy balaa full madoido . ktk hizi machine kuna nyigi ni maboya. Hivyo njia sahihi ni kufatilia ktk web yao nakucheza na forams za ma electrician kusikia maoni yao then unajua wapi ni wapi
ila kwenye range hapo lazima utafute T4
 
wakuu kuna njia kuu 2 za kufanya diagnosis kwenye gari.

kwakutumia mashine na kwakutumia softwere ambazo huwa una install kwenye laptop or pc au phone na kuzitumia.

mm nimekuwa natumia mashine na kiukweli bado hizi mashine hazijitoshelezi unakuta kuna baadhi ya gari zinagoma au unakuta kuna gari hazipo kabisa kwenye mashine husika hivyo inakuwa ni usumbufu na ukitegemea hizi mashine zinauzwa bei kubwa sana.

nilikuwa na wazo la kuanza kutumia laptop kwa faida ya haraka haraka niliyoiona mm ni kuwa katika laptop 1 unaweza ukawa hata na softwere 10 za universal ambazo naamini huwezi kwama au ukaamua kununua kwa magari husika mfano ya softwere maalum kwa toyota inamaana gari yoyote ya toyota huwezi shindwa kuto diagnosis.

ukawa na ya nissan,subaru,honda,mistubish isuzu jeep,bmw,benz n.k

swali langu je hasara za njia hii ni zipi hasa.maana nikiangalia garama za mashine na garama za kutumia laptop naona kuna utofauti mkubwa sana.

tusaidiane kwa aliye wahi tumia.njia hii au ambaye bado anatumia

1.Unatakiwa kununua original Boxes Faida yake ni kuwa kila ikitoka model mpya ya gari ,Mtengeneza box anatoa software yake bure kwa wote wenye mabox. so akuna hasara.....Mabox yote kutoka china ni copy so mfano ..ukinunua box kutoka china utakuta ana magari ya mwisho 2014.no updates na uwezi tumia updates za original box manufacture.so unakuwa umeliwa.
yapo mabox original ambayo yanasupport magari yote, sonakushauri uinvest huko badala ya kudeal na mabox ya kichina
 
sio kweli mkuu .usiuchukulie ufundi kirahisi kihivyo mzee baba ndio maana mafundi wengi wanakwama..shida nyie mnataka kupima au tumia mashine kama.simu bali mle kuna vitu vingi sana ..vyakufanya na mashine ambavyo mafundi 95% kibongo hawafaham kwaajili wamejifunza kwa kuunga unga.shule zipo ila ni chache na kama hazipo watu tunajifunza kila siku kuna informatio watu tunazilipia na wadau waliopo dunian wanatusogezea material tunajifunza online so ww wasema hakuna shule au wataka shule gani
 
Back
Top Bottom