LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
wakuu kuna njia kuu 2 za kufanya diagnosis kwenye gari.
kwakutumia mashine na kwakutumia softwere ambazo huwa una install kwenye laptop or pc au phone na kuzitumia.
mm nimekuwa natumia mashine na kiukweli bado hizi mashine hazijitoshelezi unakuta kuna baadhi ya gari zinagoma au unakuta kuna gari hazipo kabisa kwenye mashine husika hivyo inakuwa ni usumbufu na ukitegemea hizi mashine zinauzwa bei kubwa sana.
nilikuwa na wazo la kuanza kutumia laptop kwa faida ya haraka haraka niliyoiona mm ni kuwa katika laptop 1 unaweza ukawa hata na softwere 10 za universal ambazo naamini huwezi kwama au ukaamua kununua kwa magari husika mfano ya softwere maalum kwa toyota inamaana gari yoyote ya toyota huwezi shindwa kuto diagnosis.
ukawa na ya nissan,subaru,honda,mistubish isuzu jeep,bmw,benz n.k
swali langu je hasara za njia hii ni zipi hasa.maana nikiangalia garama za mashine na garama za kutumia laptop naona kuna utofauti mkubwa sana.
tusaidiane kwa aliye wahi tumia.njia hii au ambaye bado anatumia