Njia nzuri ya kujifunza Crypto currency

Catha96

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
54
Reaction score
70
Habarini ndugu wana Jf , Natumaini mko na Jumapili njema kwa wenye changamoto za hapa na pale Mungu awafanyie wepesi.
Niende moja kwa moja kwenye mada , Naomba kufahamishwa namna nzuri ya kujifunza Crypto currency kwa mlio wajuvi wa hii nyanja

Asanteni
nawasilisha!
 
Nakaribisha maoni zaidi
 
Njia nzuri zaidi ni kujiunga kwenye communities ambazo wanadeal na cryptocurrencies kila siku,tafuta whatsapp groups,telegram groups au reddit communities kisha baada ya hapo fuatilia vzr wanavyovijadili

Unaweza kuanzia hapa:
 
Mkuu hii link imekuwa revoked. Hebu post mpya tujiunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…