Njia nzuri ya kujiongezea maarifa

Njia nzuri ya kujiongezea maarifa

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Wakati huu ambao dunia inapitia wakati mgumu kutokana nchi nyingi kukumbwa na janga la ugonjwa wa corona, ambao umeathiri kwa kiasi kikubwa shuguli nyingi za binadamu Kama vile shule na vyuo kufungwa.

Ningependa kutoa ushauri kwa ndugu zangu hususani wanachuo na wanafunzi kuhutumia muda huu kufanya mambo yatayokuongezea maarifa na uelewa, huu ndio muda wa Kukaa nyumbani na kujisomea vitabu ambavyo vitakusaidia kuongeza maarifa yako
 
Wiki ijayo mnafungua shule mpunguze foleni humu jamvini maana mmezidi kwa ushauri wenu wa chekechea a. k . a vidudu
 
Back
Top Bottom