Njia pekee itakayokuwezesha kushika bilion 3 ukiwa mzee

Wewe IJPII Wambura tangu uanze kushika mabilioni ya pesa kwa uporaji na dhulma dhidi ya Watanzania tayari umeanza kuwa na dharau, sivyo?
 
Mkuu,
Kwamba formula yako na makisio yanatakiwa mtu mwenye umri wa miaka 0, maana sisi wenye miaka 30+ inagoma
 
Nataka niwekeze 5M kila mwezi ndani ya miaka 5 nitakuwa na shs ngapi?
Utakuwa umeweka milion 300, faida milion na mtaji milion 408. , faida milion 108 ( hii nikwamuda wa miaka 5)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…