Njia Pekee ya Kolo kuepuka kipigo Tarehe 23/10/2022 ni Mzungu kutoroka na Mpira

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nisikuchoshe na usinichoshe, Tusichoshane!

Tangu ilipotangazwa tarehe rasmi ya kuanza hatua za awali za ligi ya mabingwa afrika zijulikanazo kama Preminary round kumekuwepo na uvumi hasa kutoka upande wa pili wa watani wa jadi wajulikanao kwa jina la utani kama MAKOLO au KOLO.

Uvumi na Propaganda hizi zilianza tangu klabu ya Dar Young African ilipotwa makombe yote muhimu Tanzania na kuiwakilisha nchi kimataifa ikisemekana safari hii tena watatolewa hatua za awali kama kawaida yao.

Nimewahi kuandika hapa ya kwamba huwa kuna tofauti kubwa sana kati ya Mashabiki wa Young Africans na wale wa upande wa pili wa MAKOLO.

Huwezi kukuta shabiki wa Young Africans akiandika uzi hapa akianza kuwachambua MAKOLO,lakini imekuwa kawaida ya mashabiki wa MAKOLO kuandika nyuzi za kutosha hapa JF na kuzungumzia Young Africans huku wakisahau kuishauri timu yao ambayo ni tia maji tia maji!.

Sasa juzi hapa imeonekana clip ya video toka huko Zenji ambako MAKOLO wameweka kambi ya muda wakijiandaa na mechi kadhaa za ndani na nje ya nchi ambayo inawaonyesha Mzungu aitwaye Dejan na Okra wakitwangana makonde mazito hadharani!,Bado sijajua chanzo cha wao kutwangana makonde nini maana hata mashabiki wao hawataki kabisa kuwazungumzia kutwa kumzungumzia mchezaji wa kutisha kutoka upande wa pili Fiston Kalala Mayele.

Sasa ifahamike pamoja na mambo yote,wanachosubiri kwa hamu kubwa ni kuona Young Africans inatolewa na timu ya Al hila ya Sudan ili wafurahi na kuandamana kwa vigelegele na vifijo mpaka kwa kiongozi wao Barbra akawape Khanga na vitenge washone sare za kuwaleta taifa hiyo tarehe 23.10.2022 kama alivyokaririwa kiongozi huyo akitoa ahadi hiyo!.

Kichekesho ni kwamba wao(MAKOLO) walishindwa kumfunga Young Africans hivyo wanategemea kazi hiyo ifanywe na waganga njaa kutoka nje.

"Wewe mwanamke mwenye matter-call makubwa umeshindwa kumtuliza mmeo ndani ya nyumba,unategemea akatulizwe na vimbao mbao toka nje",hii inawezekana kweli?.

Pamoja na Propaganda zote zinazofanywa na viongozi na mashabiki wa MAKOLO za kuiona klabu pendwa ya watanzania ya Dar Young Africans ikiparaganyika kama ilivyo kwa upande wao,jitihada hizo bado hazijafua dafu maana Young Africans imethibitisha iko Imara zaidi ya chuma ndani na nje ya uwanja.

Sasa natoa ushauri tu kwa MAKOLO na uongozi wa timu yao kwa ujumla,hiyo tarehe 8.10.2022 wahakikishe wanakuja kabisa wamevaa Khanga na mitandio kwasababu wataenda kushuhudia Young Africans wakiongeza mke wa pili ambae ni kimbao mbao kwasababu wao wenye matter-call makubwa mume amewashinda!.

Fungate litakapokwisha huko kwenye jengo la Salamander,Tarehe 23.10.2022 Young Africans atarudi tena kwa Bi.mkubwa ili kujiandaa kumpeleka chumba cha upasuaji kwa ajili ya kumfanyia oparesheni kabambe ya kuondoa Roho mbaya, chuki, kiherehere, kisebusebu, kiroho papo na umbu-mbumbu.

Oparesheni hiyo kabambe itafanywa na daktrari bingwa wa kuondoa viherehere na kukata vilimilimi aitwaye Fiston Mayele,daktari bingwa wa kuondoa kisebusebu aitwaye Tusila kisinda, Daktari bingwa wa uchanaji na kuondoa umbu-mbumbu aitwaye Aziz Ki, daktari bingwa wa kuondoa chuki Farid Musa, daktari bingwa wa kuondoa kiroho papo aitwaye Feisal Salumu.

Hao ni baadhi tu ya madtari watakaohusika na upasuaji wa huyo bi mkubwa, lakini pia kutakuwa na madktari washonaji wakiongozwa na Yanik Litombo Bangala, huyu kazi yake kubwa ni kuhakikisha hakuna mshono utakaoachwa kupigwa nyuzi.

RAI KWA MAKOLO NA UONGOZI WAO.

Ili kuhakikisha siku ya Tarehe 23.10.2022 hiyo oparesheni haifanyiki,wamuombe mzungu kuiba mpira na kutokomea kusiko Julikana lakini tofauti na hapo oparesheni ya kuondoa uvimbe ulisoshindikana lazima ufanyike kikamilifu.

Pia nimshauri rafiki yangu Mgunda atafute timu ya kufundisha mapema kwasababu siku ya Tarehe 23.10.2022 kibarua chake cha mkopo kitafika tamati rasmi.

Nawasilisha
 
Mafanikio makubwa ya Yanga hapa duniani ni Kumfunga The giant Simba....

Wenye akili ni wawili huko..
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, Tusichoshane!

Tangu ilipotangazwa tarehe rasmi ya kuanza hatua za awali za ligi ya mabingwa afrika zijulikanazo kama Preminary round kumekuwepo na uvumi hasa kutoka upande wa pili wa watani wa jadi wajulikanao kwa jina la utani kama MAKOLO au KOLO.

Uvumi na Propaganda hizi zilianza tangu klabu ya Dar Young African ilipotwa makombe yote muhimu Tanzania na kuiwakilisha nchi kimataifa ikisemekana safari hii tena watatolewa hatua za awali kama kawaida yao.

Nimewahi kuandika hapa ya kwamba huwa kuna tofauti kubwa sana kati ya Mashabiki wa Young Africans na wale wa upande wa pili wa MAKOLO.

Huwezi kukuta shabiki wa Young Africans akiandika uzi hapa akianza kuwachambua MAKOLO,lakini imekuwa kawaida ya mashabiki wa MAKOLO kuandika nyuzi za kutosha hapa JF na kuzungumzia Young Africans huku wakisahau kuishauri timu yao ambayo ni tia maji tia maji!.

Sasa juzi hapa imeonekana clip ya video toka huko Zenji ambako MAKOLO wameweka kambi ya muda wakianja na mechi kadhaa za ndani na nje ya nchi ambayo inawaonyesha Mzungu aitwaye Dejan na Okra wakitwangana makonde mazito hadharani!,Bado sijajua chanzo cha wao kutwangana makonde nini maana haza mashabiki wao hawataki kabisa kuwazungumzia kutwa kumzungumzia mchezaji wa kutisha kutoka upande wa pili Fiston Kalala Mayele.

Sasa ifahamike pamoja na mambo yote,wanachosubiri kwa hamu kubwa ni kuona Young Africans inatolewa na timu ya Al hila ya Sudan ili wafurahi na kuandamana kwa vigelegele na vifijo mpaka kwa kiongozi wao Barbra akawape Khanga na vitenge washone sare za kuwaleta taifa hiyo tarehe 23.10.2022 kama alivyokaririwa kiongozi huyo akitoa ahadi hiyo!.

Kichekesho ni kwamba wao(MAKOLO) walishindwa kumfunga Young Africans hivyo wanategemea kazi hiyo ifanywe na waganga njaa kutoka nje.

"Wewe mwanamke mwenye matter-call makubwa umeshindwa kumtuliza mmeo ndani ya nyumba,unategemea akatulizwe na vimbao mbao toka nje",hii inawezekana kweli?.

Pamoja na Propaganda zote zinazofanywa na viongozi na mashabiki wa MAKOLO za kuiona klabu pendwa ya watanzania ya Dar Young Africans ikiparaganyika kama ilivyo kwa upande wao,jitihada hizo bado hazijafua dafu maana Young Africans imethibitisha iko Imara zaidi ya chuma ndani na nje ya uwanja.

Sasa natoa ushauri tu kwa MAKOLO na uongozi wa timu yao kwa ujumla,hiyo tarehe 8.10.2022 wahakikishe wanakuja kabisa wamevaa Khanga na mitandio kwasababu wataenda kushuhudia Young Africans wakiongeza mke wa pili ambae ni kimbao mbao kwasababu wao wenye matter-call makubwa mume amewashinda!.

Fungate litakapokwisha huko kwenye jengo la Salamander,Tarehe 23.10.2022 Young Africans atarudi tena kwa Bi.mkubwa ili kujiandaa kumpeleka chumba cha upasuaji kwa ajili ya kumfanyia oparesheni kabambe ya kuondoa Roho mbaya, chuki, kiherehere, kisebusebu, kiroho papo na umbu-mbumbu.

Oparesheni hiyo kabambe itafanywa na daktrari bingwa wa kuondoa kiherhere aitwaye Fiston Mayele,daktari bingwa wa kisebusebu aitwaye Tusila kisinda, Daktari bingwa wa uchanaji na kuondoa umbu-mbumbu aitwaye Aziz Ki, daktari bingwa wa kuondoa chuki Farid Musa, daktari bingwa wa kuondoa kiroho papo aitwaye Feisal Salumu.

Hao ni baadhi tu ya madtari watakaohusika na upasuaji wa huyo bi mkubwa, lakini pia kutakuwa na madktari washonaji wakiongozwa na Yanik Litombo Bangala, huyu kazi yake kubwa ni kuhakikisha hakuna mshono utakaoachwa kupigwa nyuzi.

RAI KWA MAKOLO NA UONGOZI WAO.

Ili kuhakikisha siku ya Tarehe 23.10.2022 hiyo oparesheni haifanyiki,wamuombe mzungu kuiba mpira na kutokomea kusiko Julikana lakini tofauti na hapo oparesheni ya kuondoa uvimbe ulisoshindikana lazima ufanyike kikamilifu.

Pia nimshauri rafiki yangu Mgunda atafute timu ya kufundisha mapema kwasababu siku ya Tarehe 23.10.2022 kibarua chake cha mkopo kitafika tamati rasmi.

Nawasilisha
Baelezeage hao........baelezeeeeee.....
 
Hiyo ndio tabia ya Makolo Mura

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Na haya ndo mafanikio ya uto inabd tuwaelewe tu
 
Nisikuchoshe na usinichoshe, Tusichoshane!

Tangu ilipotangazwa tarehe rasmi ya kuanza hatua za awali za ligi ya mabingwa afrika zijulikanazo kama Preminary round kumekuwepo na uvumi hasa kutoka upande wa pili wa watani wa jadi wajulikanao kwa jina la utani kama MAKOLO au KOLO.

Uvumi na Propaganda hizi zilianza tangu klabu ya Dar Young African ilipotwa makombe yote muhimu Tanzania na kuiwakilisha nchi kimataifa ikisemekana safari hii tena watatolewa hatua za awali kama kawaida yao.

Nimewahi kuandika hapa ya kwamba huwa kuna tofauti kubwa sana kati ya Mashabiki wa Young Africans na wale wa upande wa pili wa MAKOLO.

Huwezi kukuta shabiki wa Young Africans akiandika uzi hapa akianza kuwachambua MAKOLO,lakini imekuwa kawaida ya mashabiki wa MAKOLO kuandika nyuzi za kutosha hapa JF na kuzungumzia Young Africans huku wakisahau kuishauri timu yao ambayo ni tia maji tia maji!.

Sasa juzi hapa imeonekana clip ya video toka huko Zenji ambako MAKOLO wameweka kambi ya muda wakijiandaa na mechi kadhaa za ndani na nje ya nchi ambayo inawaonyesha Mzungu aitwaye Dejan na Okra wakitwangana makonde mazito hadharani!,Bado sijajua chanzo cha wao kutwangana makonde nini maana hata mashabiki wao hawataki kabisa kuwazungumzia kutwa kumzungumzia mchezaji wa kutisha kutoka upande wa pili Fiston Kalala Mayele.

Sasa ifahamike pamoja na mambo yote,wanachosubiri kwa hamu kubwa ni kuona Young Africans inatolewa na timu ya Al hila ya Sudan ili wafurahi na kuandamana kwa vigelegele na vifijo mpaka kwa kiongozi wao Barbra akawape Khanga na vitenge washone sare za kuwaleta taifa hiyo tarehe 23.10.2022 kama alivyokaririwa kiongozi huyo akitoa ahadi hiyo!.

Kichekesho ni kwamba wao(MAKOLO) walishindwa kumfunga Young Africans hivyo wanategemea kazi hiyo ifanywe na waganga njaa kutoka nje.

"Wewe mwanamke mwenye matter-call makubwa umeshindwa kumtuliza mmeo ndani ya nyumba,unategemea akatulizwe na vimbao mbao toka nje",hii inawezekana kweli?.

Pamoja na Propaganda zote zinazofanywa na viongozi na mashabiki wa MAKOLO za kuiona klabu pendwa ya watanzania ya Dar Young Africans ikiparaganyika kama ilivyo kwa upande wao,jitihada hizo bado hazijafua dafu maana Young Africans imethibitisha iko Imara zaidi ya chuma ndani na nje ya uwanja.

Sasa natoa ushauri tu kwa MAKOLO na uongozi wa timu yao kwa ujumla,hiyo tarehe 8.10.2022 wahakikishe wanakuja kabisa wamevaa Khanga na mitandio kwasababu wataenda kushuhudia Young Africans wakiongeza mke wa pili ambae ni kimbao mbao kwasababu wao wenye matter-call makubwa mume amewashinda!.

Fungate litakapokwisha huko kwenye jengo la Salamander,Tarehe 23.10.2022 Young Africans atarudi tena kwa Bi.mkubwa ili kujiandaa kumpeleka chumba cha upasuaji kwa ajili ya kumfanyia oparesheni kabambe ya kuondoa Roho mbaya, chuki, kiherehere, kisebusebu, kiroho papo na umbu-mbumbu.

Oparesheni hiyo kabambe itafanywa na daktrari bingwa wa kuondoa kuondoa viherehere na kukata vilimilimi aitwaye Fiston Mayele,daktari bingwa wa kuondoa kisebusebu aitwaye Tusila kisinda, Daktari bingwa wa uchanaji na kuondoa umbu-mbumbu aitwaye Aziz Ki, daktari bingwa wa kuondoa chuki Farid Musa, daktari bingwa wa kuondoa kiroho papo aitwaye Feisal Salumu.

Hao ni baadhi tu ya madtari watakaohusika na upasuaji wa huyo bi mkubwa, lakini pia kutakuwa na madktari washonaji wakiongozwa na Yanik Litombo Bangala, huyu kazi yake kubwa ni kuhakikisha hakuna mshono utakaoachwa kupigwa nyuzi.

RAI KWA MAKOLO NA UONGOZI WAO.

Ili kuhakikisha siku ya Tarehe 23.10.2022 hiyo oparesheni haifanyiki,wamuombe mzungu kuiba mpira na kutokomea kusiko Julikana lakini tofauti na hapo oparesheni ya kuondoa uvimbe ulisoshindikana lazima ufanyike kikamilifu.

Pia nimshauri rafiki yangu Mgunda atafute timu ya kufundisha mapema kwasababu siku ya Tarehe 23.10.2022 kibarua chake cha mkopo kitafika tamati rasmi.

Nawasilisha
Umeandika upuuzi mwingi sana nyani wa pori la Utopolo ndiyo mnaongoza kwa nyuzi za kimbwiga kama huu hapa,kwa vile wewe ni taahira mwenyewe unaona umetoa madini.
 
Subiri babura aje na khanga akupe ukashone sare maana ndoa ya bi mdogo ipo karibu KOLO wewe!
 
Kumbe umughaka mtu Kaz Ni yanga daima

Nimefurahi sna kuona Uzi huu
 
Back
Top Bottom