Njia Pekee ya kuepuka viongozi kutoka Zanzibar ni kuvunja Muungano

Doctor Mama Amon

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
2,311
Reaction score
3,513
1749643380968.png

1749630096286.png

Ukweli kwamba mitaala ya elimu sio sehemu ya mambo ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unayo madhara makubwa sana kwa Watanganyika pale kunapokuwepo na viongozi wa siasa ambao ni Wazanzibari.

Mitaala ya elimu ya Zanzibar haisemi kitu kuhusu tofauti kati ya dola ambayo ni jamhuri ya kiliberali na kidemorsia, kwa upande mmoja, na dola ya kiimla, kama vile dola ya kisultani, dola ya kichifu, dola ya kifalme, dola ya kimwami, na dola ya kijeshi, kwa upande mwingine.

KImaadili pia, mitaala ya elimu ya Zanzibar haisemi kitu kuhusu tofauti kati ya haki za binadamu zinazopaswa kuheshimiwa na kila mtu, kila mahali na kila wakati, kwa upande mmoja, na haki za binadamu zinazoweza kuminywa kulingana na matakwa ya mtu binafsi, mahali fulani na wakati fulani, kwa upande mwingine.

Napendekeza kwamba, ni kwa sababu hizi za kielimu na kimaadili, viongozi wengi wa serikali ya muungano wanaotoka upande wa Zanzibar wanageuka kuwa kero mpya ya Muungano kwa upande wa Tanzania Bara.

Matukio mengi ya utekaji, utesaji, na uuaji wa raia, kwa upande mmoja, na maamuzi ya serikali ya kufuta usajili wa taasisi za kiraia kama vile kufuta taasisi za dini na serikali kuitumia mahakama kusitisha shughuli za baadhi ya vyama vya siasa, kwa upande mwingine, yanawahusu ama moja kwa moja au kwa njia ya mzunguko.

Mambo yote haya yanawaalika wanazuoni kufikiri kwa sauti kubwa kama wajasiriadola.

Tumefundidhwa kwamba, Taifa lolote, ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni mfumo wenye muundo kama piramidi la ngazi nne.

Katika ngazi ya chini kabisa kuna mtu mmoja mmoja; ngazi ya pili kuna mke na mume, wazazi na watoto wao; ngazi ya tatu kuna asasi za kiraia, taasisi za dini, makampuni, vyama vya siasa, na vyama vya wafanyakazi; na katika ngazi ya nne kuna serikali, bunge na mahakama.

Katika piramidi hili, kila mtu na kila taasisi ni kitovu cha nafsi huru yenye sura ya tufe la uhuru wa kujitawala (self-determination sphere). Mipaka ya tufe hili inawekwa na urefu wa majukumu aliyo nayo mhusika kwa jirani. Uhusiano wa matufe yote unaratibiwa na tufe mojawapo linaloitwa serikali.

Kuna kanuni kuu mbili za ujasiriadola zinazoongoza kazi ya kuratibu mahusiano kati ya wadau wote wanaoishi katika Taifa moja.

Kwanza, kuna kanuni ya tufe la utawala binafsi (the principle of sphere sovereignty) inayofafanua mipaka ya uhuru wa kujitawala uliomo mikononi mwa kila mtu na kila taasisi.

Kanuni ya ukuu wa tufe la utawala binafsi inasisitiza kwamba seka mbalimbali za maisha ya Taifa kama vile familia, biashara, elimu, kanisa, serikali za mitaa, na serikali kuu, ni vitu tofauti na kila sekta najiendesha, ikiwa na kusudi lake asilia.

Kanuni hii inapinga sekta moja, kama serikali kuu, kuhodhi mamlaka yote juu ya sekta nyingine zote.

Inasisitiza umuhimu wa kuheshimu haki na majukumu ya kipekee na mipaka ya kila sekta.

Pili, kuna kanuni ya usaidizi (the principle of subsidiarity) inayofafanua mgawanyo wa majukumu katika ya jumuiya iliyoko katika ngazi ya juu ya piramidi la ujasiriadola na jumuiya ya ngazi ya chini.

Kanuni ya usaidizi inaelekeza kwamba maamuzi ya kutatua tatizo la kijamii yanapaswa kufanywa katika ngazi iliyo karibu zaidi na raia wanaoguswa moja kwa moja na tatizo husika.

Hii maana yake ni kwamba, kama ngazi za chini zilizo karibu na tatizo hazijashindwa kulitatua, basi, ngazi za juu kamanvile ngazi za kitaifa, kikanda, kimkoa, na kiwilaya hazioaswi kuingilia kati isipokuwa kama zikiombwa msaada kutoka ngazi za chini.

Yaani, kanuni hii ina maana kwamba ngazi ya juu haipaswi kuingilia kati katika ngazi za chini kama wananchi katika ngazi hizi wanaweza kushughulikia suala wenyewe vya kutosha.

Kwa pamoja, kanuni hizi mbili zinaweka utaratibu mahsusi unaoongoza mahusiano ya wadau wote katika Taifa, kila mdau akiwa na haki zake na majukumu maalum kwa majirani zake.

Ni kanuni zinazopinga maovu ya serikali za kiimla, kama vile serikali ya komunisti iliyofundisha kwamba watu ndani ya Taifa ni kama magurudumu ya meno yaliyo ndani ya injini ya gari, ambapo, gurudumu moja likianza kuzunguka yote lazima yazunguke, yatake yasitake.

Ni kanuni zinazotafuta kulinda akili na utashi wa kila mtu, na hivyo kukuza na kuhami heshima ya utu wa binadamu.

Katika piramidi la ujasiriadola, serikali inaweza kuwa ni Jamhuri ya KIliberali na Kidemokrasia au serikali ya kiimla kama zilivyo serikali za kichifu, kisultani, kimwami, kifalme ma kijeshi.

Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania (1977) Tanzania ni Jamhuri ya Kiliberali na Kidemokrasia.

Tamko hili maana yake ni kwamba, serikali inapaswa kupata mamlaka yake kutoka kwa wananchi, kisha serikali hiyo inapaswa kubeba jukumu la kukuza na kuhami haki za wananchi na asasi za kiraia zilizosajiliiwa kisheria, serikali hiyo ikiwa inaongozwa na kanuni ya ukuu wa Katiba juu ya serikali, bunge na mahakama.

Hii ndio Kanuni ya Imani ya Utanzania. Ndio ndoto ya Utanzania.

Wakati wa Nyerere, Mkapa, Kikwete, na Magufuli Kanuni hii iliheshimiwa kwa sehemu kubwa na serikali.

Lakini, wakati wa Mwinyi Kanuni ya Imani ya Utanzania ilipelekwa likizo.

Taifa likawa kama ndege inayojiendesha bila rubani kwa miaka kumi. Gazeti la The Sun huko Afrika Kusini liliwahi kutamka hivyo.

Wakati wa Samia tatizo hili limetokea, tena kwa kasi kubwa zaidi.

Serikali inabomoa piramidi ya kitaifa kwa kufuta ngazi ya tatu inayojumuisha asasi za kiraia.

Katika ngazi hii kuna NGO, makampuni, taasisi za dini na vyama vya siasa.

Kwa kitendo hiki, Kanuni ya Imani ya Utanzania inamomonyolewa wazi wazi kwa kuwa tunaye mkuu wa nchi asiye na weledi stahiki kuhusu misingi thabiti ya ujasiriadola.

Nchi inakongoroka. Nchi Inakwenda mrama. Yeye Rais anatazama tu.

Ni kosa kubwa sana kwa serikali kutangaza vita dhidi ya asasi za kiraia kama tunavyoona sasa hivi.

Taasisi za dini zinafutwa kinyemela, vyama vya siasa vinaminya kihuni.

Chama kikuu cha upinzani Tanzania Bara yenye watu 60,000,000 kinazuiwa kufanya siasa kwa faida ya Wazanzibari 3,000,000.

Eti wanataka mgao wa mali za chama kwa kutumia fomula 21% inayotumiwa na Serikali katika ajira kwenye ofisi za muungano.

Raia anatekwa mchana kweupe kutoka kwenye basi na kuuliwa, Raia anavamiwa nyumbani kwake usiki na kupotezwa.

Rais Samia yuko kimya. Maovu ya wazi kwa kiwango hiki hayajapata kutokea kabla ya uongozi wa Rais Samia.

Hivyo swali linazuka: Je, kuna tishio lolote la kiusalama kama tukiamua kuvunja muungano ili tuondokane na Kero hii ya marais hafifu wanaoteua washauri hafifu kutoka Zanzibar na hivyo kuiweka nchi yetu katika hali inayohatarisha kanuni ya imani ya utanzania?

Kama hakuna tishio lolote kubwa nashauri tuendeshe kura ya maoni kuwauliza Watanganyika kama bado wanautaka muungano unaohatarisha Ndoto ya Utanzania.
 
Matukio ya utekaji, utesaji, na uuaji wa raia, kwa upande mmoja, na maamuzi ya serikali ya kufuta usajili wa taasisi za kiraia kama vile kufuta taasisi za dini na serikali kuitumia mahakama kusitisha shughuli za baadhi ya vyama vya siasa, kwa upande mwingine, yanawaalika wanazuoni kufikiri kwa sauti kubwa kama wajasiriadola.

Taifa lolote, ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kama piramidi lenye ngazi nne.

Katika ngazi ya chini kabisa kuna mtu mmoja mmoja, ngazi ya pili kuna ndoa na familia, ngazi ya tatu kuna asasi za kiraia, na ngazi ya nne kuna serikali, bunge na mahakama.

Katika piramidi hili, kila mttu na kila taasisi ni nafsi huru yenye sura ya tufe leny kitovu cha uhuru wa kujitawala (self-determination), ambao mipaka yake inawekwa na majukumu kwa jirani, matufe yote yakiwa yanaratibiwa na tufe mojawapo linaloitwa serikali.

Kuna kanuni mbili za ujasiriadola zinazoongoza mahusiano kati ya wadau wote katika Taifa.

Kwanza, kuna kanuni ya tufe la utawala binafsi (the principle of sphere sovereignty) inayofafanua mipaka ya uhuru wa kujitawala uliomo mikononi mwa kila mdau wa nchi.

Kanuni ya ukuu wa tufe la utawala binafsi inasisitiza kwamba seka mbalimbali za maisha ya Taifa kama vile familia, biashara, elimu, kanisa, na serikali ni tofauti na zinajiendesha, kila sekta ikiwa na kusudi lake asilia.

Kanuni hii inapinga sekta moja, kama serikali, kuhodhi mamlaka yote juu ya sekta nyingine zote. Inasisitiza umuhimu wa kuheshimu haki na majukumu ya kipekee na mipaka ya kila sekta.

Pili, kuna kanuni ya usaidizi (the principle of subsidiarity) inayofafanua mgawanyo wa majukumu katika ya jumuiya iliyoko katika ngazi ya juu ya piramidi la ujasiriadola na jumuiya ya ngazi ya chini.

Kanuni ya usaidizi inaelekeza kwamba maamuzi yanapaswa kufanywa katika ngazi ya karibu zaidi na raia, ikimaanisha ngazi za kitaifa, kikanda, au mitaa, isipokuwa kama hatua za ngazi ya juu zinahitajika baada ya ngazi ya chini kushindwa na kuomba msaada.

Kimsingi, kanuni hii ina maana kwamba ngazi ya juu haipaswi kuingilia kati katika ngazi za chini kama wananchi katika ngazi hizi wanaweza kushughulikia suala wenyewe vya kutosha.

Kwa pamoja, kanuni hizi zinaweka utaratibu mahsusi unaoongoza mahusiano ya wadau wote katika Taifa, kila mdau akiwa na haki zake na majukumu maalum kwa majirani zake.

Ni kanuni zinazopinga maovu ya serikali za kiimla, kama vile serikali ya komunisti iliyofundisha kwamba watu ndani ya Taifa ni kama magurudumu ya meno yaliyo ndani ya injini ya gari, ambapo, gurudumu moja likianza kuzunguka yote lazima yazunguke, yatake yasitake.

Ni kanuni zinazotafuta kulinda akili na utasi wa kila mtu, na hivyo kukuza na kuhami heshima ya utu wa binadamu.

Katika piramidi la ujasiriadola, serikali inaweza kuwa ni Jamhuri ya KIliberali na Kidemokrasia au serikali ya kiimla kama vile serikali ya kichifu, kisultani, kimwami, au serikali ya kifalme.

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi (1977) Tanzania ni Jamhuri ya Kiliberali na Kidemokrasia.

Tamko hili maana yake ni kwamba, serikali inapaswa kupata mamlaka yake kutoka kwa wananchi, kisha serikali hiyo inapaswa kubeba jukumu la kukuza na kuhami haki za wananchi na asasi za kiraia zilizosajiliiwa kisheria, serikali hiyo ikiwa inaongozwa na kanuni ya ukuu wa Katiba juu ya serikali, bunge na mahakama.

Hii ndio Kanuni ya Imani ya Utanzania. Ndio ndoto ya Utanzania.

Wakati wa Nyerere, Mkapa, Kikwete, na Magufuli Kanuni hii iliheshimiwa kwa sehemu kubwa na serikali.

Lakini, wakati wa Mwinyi Kanuni ya Imani ya Utanzania ilipelekwa likizo. Taifa likawa kama ndege inayojiendesha bila rubani kwa miaka kumi. Gazeti la The Sun huko Afrika Kusini liliwahi kutamka hivyo.

Wakati wa Samia tatizo hili limetokea tena. Serikali inabomoa piramidi ya kitaifa kwa kufuta ngazi ya tatu inayojumuisha asasi za kiraia. Katika ngazi hii kuna NGO, makampuni, taasisi za dini na vyama vya siasa.

Kwa kitendo hiki, Kanuni ya Imani ya Utanzania inamomonyolewa wazi wazi kwa kuwa tunaye mkuu wa nchi asiye na weledi stahiki kuhusu misingi thabiti ya ujasiriadola.

Nchi inakongoroka. Nchi Inakwenda mrama. Yeye anatazama tu. Ni kosa kubwa sana kwa serikali kutangaza vita dhidi ya asasi za kiraia kama tunavyoona sasa hivi. Taasisi za dini zinafutwa kinyemela, vyama vya siasa vinaminya kihuni.

Hivyo swali linazuka: Je, kuna tishio lolote la kiusalama kama tukiamua kuvunja muungano ili tuondokane na Kero hii ya marais hafifu wanaoteua washauri hafifu kutoka Zanzibar na hivyo kuiweka nchi yetu katika hali ya sintofahamu?

Nakukubaligi sana na maandiko yako Doctor Mama Amon . Uliyosema ni sahihi kabisa na msingi wake ni Katiba.

Ndo mana ajenda kuu ya Chadema na Watanzania kwa sasa ni Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi ili nchi yetu ikapate mwanga rasmi na maendeleo ya kwelo kwa Wananchi wake.
 
Halafu mamaako au babaako au hawara ya mamaako ndio aje kuwa Rais kwasababu tu hatoki Zanzibar? Nyambafu!!
 
Sasa ni wazi kwamba viongozi wa setikali ya muungano wanaotoka upande wa Zanzibar wamegeuka kuwa kero mpya ya Muungano kwa upande wa Tanzania Bara.

Matukio mengi ya utekaji, utesaji, na uuaji wa raia, kwa upande mmoja, na maamuzi ya serikali ya kufuta usajili wa taasisi za kiraia kama vile kufuta taasisi za dini na serikali kuitumia mahakama kusitisha shughuli za baadhi ya vyama vya siasa, kwa upande mwingine, yanawahusu.

Yote haya yanawaalika wanazuoni kufikiri kwa sauti kubwa kama wajasiriadola.

Uko sahihi
 
"Sina shaka kwamba wakati mwingine baadhi ya viongozi wa Tanzania Bara walitamani mno Muungamo uvunjwe kwa kulemewa na Matatizo ya Umoja".
Jk Nyerere.

"Faida za Muungano zinazidi matatizo yake"

Nina nukuu nyingi sana Za Muungano.
Lakini hili la Kuongozwa na Mzanzibar hapana.

Naaomba watanganyika Tuungane kuidai Tanganyika yetu
 
Hakuna haja ya kuvunja muungano. Serikali iwe moja tu na Zanzibar iwe kama Mafia.
 
Kwa CCM ya Tanganyika hapo sasa ndio mnagusa moto.

Mzee Karume aliwai kusema'muungano ni kama koti likikubana unalivua',mzee yule akauwawa kwa utata mwingi.
 
Sasa ni wazi kwamba viongozi wa setikali ya muungano wanaotoka upande wa Zanzibar wamegeuka kuwa kero mpya ya Muungano kwa upande wa Tanzania Bara.

Matukio mengi ya utekaji, utesaji, na uuaji wa raia, kwa upande mmoja, na maamuzi ya serikali ya kufuta usajili wa taasisi za kiraia kama vile kufuta taasisi za dini na serikali kuitumia mahakama kusitisha shughuli za baadhi ya vyama vya siasa, kwa upande mwingine, yanawahusu.

Yote haya yanawaalika wanazuoni kufikiri kwa sauti kubwa kama wajasiriadola.

Taifa lolote, ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kama piramidi lenye ngazi nne.

Katika ngazi ya chini kabisa kuna mtu mmoja mmoja, ngazi ya pili kuna ndoa na familia, ngazi ya tatu kuna asasi za kiraia, na ngazi ya nne kuna serikali, bunge na mahakama.

Katika piramidi hili, kila mttu na kila taasisi ni nafsi huru yenye sura ya tufe leny kitovu cha uhuru wa kujitawala (self-determination sphere), ambao mipaka yake inawekwa na majukumu kwa jirani, matufe yote yakiwa yanaratibiwa na tufe mojawapo linaloitwa serikali.

Kuna kanuni mbili za ujasiriadola zinazoongoza mahusiano kati ya wadau wote katika Taifa.

Kwanza, kuna kanuni ya tufe la utawala binafsi (the principle of sphere sovereignty) inayofafanua mipaka ya uhuru wa kujitawala uliomo mikononi mwa kila mdau wa nchi.

Kanuni ya ukuu wa tufe la utawala binafsi inasisitiza kwamba seka mbalimbali za maisha ya Taifa kama vile familia, biashara, elimu, kanisa, na serikali ni tofauti na zinajiendesha, kila sekta ikiwa na kusudi lake asilia.

Kanuni hii inapinga sekta moja, kama serikali, kuhodhi mamlaka yote juu ya sekta nyingine zote. Inasisitiza umuhimu wa kuheshimu haki na majukumu ya kipekee na mipaka ya kila sekta.

Pili, kuna kanuni ya usaidizi (the principle of subsidiarity) inayofafanua mgawanyo wa majukumu katika ya jumuiya iliyoko katika ngazi ya juu ya piramidi la ujasiriadola na jumuiya ya ngazi ya chini.

Kanuni ya usaidizi inaelekeza kwamba maamuzi yanapaswa kufanywa katika ngazi ya karibu zaidi na raia, ikimaanisha ngazi za kitaifa, kikanda, au mitaa, isipokuwa kama hatua za ngazi ya juu zinahitajika baada ya ngazi ya chini kushindwa na kuomba msaada.

Kimsingi, kanuni hii ina maana kwamba ngazi ya juu haipaswi kuingilia kati katika ngazi za chini kama wananchi katika ngazi hizi wanaweza kushughulikia suala wenyewe vya kutosha.

Kwa pamoja, kanuni hizi zinaweka utaratibu mahsusi unaoongoza mahusiano ya wadau wote katika Taifa, kila mdau akiwa na haki zake na majukumu maalum kwa majirani zake.

Ni kanuni zinazopinga maovu ya serikali za kiimla, kama vile serikali ya komunisti iliyofundisha kwamba watu ndani ya Taifa ni kama magurudumu ya meno yaliyo ndani ya injini ya gari, ambapo, gurudumu moja likianza kuzunguka yote lazima yazunguke, yatake yasitake.

Ni kanuni zinazotafuta kulinda akili na utasi wa kila mtu, na hivyo kukuza na kuhami heshima ya utu wa binadamu.

Katika piramidi la ujasiriadola, serikali inaweza kuwa ni Jamhuri ya KIliberali na Kidemokrasia au serikali ya kiimla kama vile serikali ya kichifu, kisultani, kimwami, au serikali ya kifalme.

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi (1977) Tanzania ni Jamhuri ya Kiliberali na Kidemokrasia.

Tamko hili maana yake ni kwamba, serikali inapaswa kupata mamlaka yake kutoka kwa wananchi, kisha serikali hiyo inapaswa kubeba jukumu la kukuza na kuhami haki za wananchi na asasi za kiraia zilizosajiliiwa kisheria, serikali hiyo ikiwa inaongozwa na kanuni ya ukuu wa Katiba juu ya serikali, bunge na mahakama.

Hii ndio Kanuni ya Imani ya Utanzania. Ndio ndoto ya Utanzania.

Wakati wa Nyerere, Mkapa, Kikwete, na Magufuli Kanuni hii iliheshimiwa kwa sehemu kubwa na serikali.

Lakini, wakati wa Mwinyi Kanuni ya Imani ya Utanzania ilipelekwa likizo. Taifa likawa kama ndege inayojiendesha bila rubani kwa miaka kumi. Gazeti la The Sun huko Afrika Kusini liliwahi kutamka hivyo.

Wakati wa Samia tatizo hili limetokea tena. Serikali inabomoa piramidi ya kitaifa kwa kufuta ngazi ya tatu inayojumuisha asasi za kiraia. Katika ngazi hii kuna NGO, makampuni, taasisi za dini na vyama vya siasa.

Kwa kitendo hiki, Kanuni ya Imani ya Utanzania inamomonyolewa wazi wazi kwa kuwa tunaye mkuu wa nchi asiye na weledi stahiki kuhusu misingi thabiti ya ujasiriadola.

Nchi inakongoroka. Nchi Inakwenda mrama. Yeye anatazama tu. Ni kosa kubwa sana kwa serikali kutangaza vita dhidi ya asasi za kiraia kama tunavyoona sasa hivi. Taasisi za dini zinafutwa kinyemela, vyama vya siasa vinaminya kihuni.

Hivyo swali linazuka: Je, kuna tishio lolote la kiusalama kama tukiamua kuvunja muungano ili tuondokane na Kero hii ya marais hafifu wanaoteua washauri hafifu kutoka Zanzibar na hivyo kuiweka nchi yetu katika hali ya sintofahamu?

Kama hakuna tishio lolote kubwa nashauri tuendeshe kura ya maoni kuwauliza Watanganyika kama bado wanautaka muungano unaohatarisha Ndoto ya Utanzania.
Wewe mama acha shobo, hakuna mzanzibar anautaka huo muungano wenu ni nyinyi watanganyika mloalazimisha na kuweka makatiba yenu ya kipumbavu now yanawatafuna mnaanza kulia lia ...kuna msemo mmoja mzuri sana KUTESA KWA ZAMU.
 
Back
Top Bottom