Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi

Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
24
Reaction score
142
Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi, sikiaeni hoja za wapinzani mzifanyie kazi wakose hoja lakini hii kamata weka ndani kuna siku itakua mbaya.
 
Hawawezi kukuelewa tena saivi wako bizee wanapiga helaa huwaambii kitu wanachojua ni mitano tena.
 
Back
Top Bottom